Makongoro Nyerere: Nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea

Asiwe na wasiwasi,asiji-underrate sana,yeye alitakiwa awe Rais,sijui haiba inamkwamisha,sijui.
 
Asiwe na wasiwasi,asiji-underrate sana,yeye alitakiwa awe Rais,sijui haiba inamkwamisha,sijui.

Nyerere hajawalea watoto wake malezi ya kuwafanya waamini lazima wapate kila kitu kwenye hii nchi.
Yupo jamaa wa Pwani watoto wake kila kilichopo kwenye hii nchi wanataka kiwe chao au nao wawemo, wana utajiri wa kutisha lakini hawaridhiki kila siku ni kufanya lobbying kila kinachojitokeza kwenye uso wa Tanzania.


Hii nchi haifiki kokote kama familia ya mtu huyu itaendelea kuwa hai na kuendeleza harakati zao za kitamaa
 
Yawezekana ulichoandika,ni kweli kwasababu kila mtu makini anaona hali inavyokua na ilivyo.
 
Makongoro mtu poa sana, hana makuu
Watu wanachotaka ni Maendeleo na kutimiza ilani ya chama, hayo makuu au madogo abaki nayo. Ingekua tunataka watu wasiokua na makuu tungeteua masheikh na wachungaji
 
Amewapa kitu kizito watumishi, wa umma, asubili matakeo bora watu Andamana mitaani kuliko moyoni, na asijidanganye endelea kuwa mkuu ,haipo iyo
 
Huyu nae hayuko sawa Anadhani Ukuu wa Mkoa atadumu nao ipo Siku ataondoka tu
 
Mimi napenda tu alivyo fanana na mwalimu nyerere, hua nikimuona napata amani kama vile ngekuwepeo Nyerere, lakini amejaliwa masihara mengi yaliyomfanya asiwe smart kama mzee wake.
 
Kama angeondolewa ingekuwa kwa nia njema vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…