Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye aliishakiri kuwa jina la surname ndilo linalombeba.Mako muhuni sana, ananata na bit la Bi. Mkora
Asiwe na wasiwasi,asiji-underrate sana,yeye alitakiwa awe Rais,sijui haiba inamkwamisha,sijui.
Yawezekana ulichoandika,ni kweli kwasababu kila mtu makini anaona hali inavyokua na ilivyo.Nyerere hajawalea watoto wake malezi ya kuwafanya waamini lazima wapate kila kitu kwenye hii nchi.
Yupo jamaa wa Pwani watoto wake kila kilichopo kwenye hii nchi wanataka kiwe chao au nao wawemo, wana utajiri wa kutisha lakini hawaridhiki kila siku ni kufanya lobbying kila kinachojitokeza kwenye uso wa Tanzania.
Hii nchi haifiki kokote kama familia ya mtu huyu itaendelea kuwa hai na kuendeleza harakati zao za kitamaa
Watu wanachotaka ni Maendeleo na kutimiza ilani ya chama, hayo makuu au madogo abaki nayo. Ingekua tunataka watu wasiokua na makuu tungeteua masheikh na wachungajiMakongoro mtu poa sana, hana makuu
Amewapa kitu kizito watumishi, wa umma, asubili matakeo bora watu Andamana mitaani kuliko moyoni, na asijidanganye endelea kuwa mkuu ,haipo iyoView attachment 2307017
Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kuwaondoa tisa, leo Alhamisi Julai 28, 2022, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amemshukuru mkuu huyo wa nchi kwa kuendelea kuhudumu katika mkoa huo na kusisitiza kuwa amenusurika.
“Rais (Samia Suluhu Hassan) amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa kwa nia njema, lakini mimi ndugu yenu nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea,” - Makongoro Nyerere.
Makongoro ameyasema hayo leo hii wakati wa zaiara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akikagua ujenzi wa miundombinu ya Shule ya Sekondari Matui Wilayani Kiteto.
[emoji23][emoji23] inchi ngumu hiiiKuna jamaa kafanana na marehemu hayati nkurunzinza hapo
Huyu nae hayuko sawa Anadhani Ukuu wa Mkoa atadumu nao ipo Siku ataondoka tuView attachment 2307017
Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kuwaondoa tisa, leo Alhamisi Julai 28, 2022, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amemshukuru mkuu huyo wa nchi kwa kuendelea kuhudumu katika mkoa huo na kusisitiza kuwa amenusurika.
“Rais (Samia Suluhu Hassan) amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa kwa nia njema, lakini mimi ndugu yenu nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea,” - Makongoro Nyerere.
Makongoro ameyasema hayo leo hii wakati wa zaiara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akikagua ujenzi wa miundombinu ya Shule ya Sekondari Matui Wilayani Kiteto.
Hahaha kweli kabisaKuna jamaa kafanana na marehemu hayati nkurunzinza hapo
Kama angeondolewa ingekuwa kwa nia njema vilevileView attachment 2307017
Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kuwaondoa tisa, leo Alhamisi Julai 28, 2022,
“Rais (Samia Suluhu Hassan) amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa kwa nia njema, lakini mimi ndugu yenu nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea,” - Makongoro Nyerere.
Sahih[emoji41][emoji41][emoji41]Huyu mzee, ukikaa nae ni ksma umelaa ma marehemu mzee majuto au joti [emoji23] [emoji1787]