Makontena ya Makonda: TRA wanatuhujumu au BANDARI wametuhujumu

Ulikuwa na hoja but umekunya hpo ulipotaja Chadema tu...
 
Mi ninavyowajua TRA wanavyo kadiria kodi kwa mazoea na kuangalia sura, hili linawezekana.
Chukueni muda wenu piteni kwenye maduka, hotel n. k mtakuta watu wenye vibanda tu wamepewa kodi, bei ya leseni sawa na wenye maduka ya mamilioni.
Waliwahi kuniambia watu wote wanaifanya biashara fulani kodi yao ni fulani! Nikawauliza mtaji wangu ni mdogo mnanipaje kodi ya jumlajumla au ya makundi? Haikusaidia.
Hakuna wataalamu kule

*Usichague kiongozi mbaya kwa sababu mko chama kimoja*
 
Kwa akiri zako za kuazima shida alizonazo mwalimu ni sofa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chakaza umetisha mkuu.
 
We uliomba kununua container ngapi? Tuanzie hapo isije ikawa ndo walewale wa kura zimeibiwa wakati hata kura hukupiga.
 
Hakuna container inayosafirishwa loose vile
Furniture zenye uwezo wa kuunganisha huwa zinawekaa kwa box

naam mkuu , kontena kusafirisha ni gharama, uweje usafirishe nusu vile????

yaan hawa viongozi wanatuchezea akili mpaka tuwe vichaaa!!
 
Sijawahi kuhudhuria hiyo minada ya Majembe na YONO, lakini robo ya clip imenifanya nione kila kitu ni usanii, mtu anataja bei na kujipandilia mwenyewe!! Hata kama ni dalali aliekodiwa kupandisha thamani ya bidhaa huwa hawafanyi hivyo, ndani ya dakika moja katana bei Nne tofauti na hakuna anaeshindana nae!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ina maana hujui kodi ya furniture ipo juu sana ili ku discourage watu wasinunua za nje?kama kochi ni laki moja kodi yake nayo inaweza ikafika laki moja au ikazidi.
Unajua hilo au hujui?
 
Hilo nalo neno! Kama makisio yako ni kweli basi tunayo kazi kubwa!
 
s
sasa rangi ya ngozi hapo imekosa nin?
 
Thamani ya mzigo.
IPO sawa na thamani ya KODI.sijasomea kodi.ila kwa akili zangu naona si sawa.hivyo vitu bora wawauzie Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu kuna ambavyo vinapatikana nchini hivyo usishangae ile siku ambayo waziri wa fedha anahitimisha hotuba ya Budget ndiyo vitu hubadilika mfano ili kuingiza Simu mtu atalipa importy duty 0-VAT 18% inaitwa zero eighteen yaani utalipa VAT tuu kama umeingiza Maziwa utalipa import duty 60%-VAT 18% Sixty eighteen maziwa kwa vile yapo nchini unaona Kodi yake inafika 78% meaning kama kopo la maziwa umenunua kwa Sh.10000 basi utalipa kodi ya Sh.7800 wanafanya hivyo kwa sababu maziwa yapo nchini hata Samani zipo
 

sawa sasa ule mzigo una thamani gani ?? kwa kila contena ni million kumi au million 70!!?? yaan tuchukulie kodi ni sawa na thaman ya mzigo
 
Kwa mujibu wa sheria za forodha, samani ( furnitures) zinazoingia nchini hutozwa ushuru mkubwa, asilimia 35 zaidi ya bidhaa nyingine. Kimsingi huu ni mkakati wa Serikali katika kulinda viwanda vya ndani vinavyojishughulisha na utengenezaji wa furniture. Kodi zinazotozwa katika furniture ni kama ifuatavyo;
Import Duty---25%
Exercise Duty---35%
VAT---------------18%
Railway Development Levy (RDL)---1.5%
Customs Processing Fee (CPF)-----0.6%
Samani ( furniture) hutozwa jumla ya asilimia 80.1% ya bei ya bidhaa ( CIF) value, ndo maana ushuru katika makontena 20 ya samani umekua juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…