mimi afanye yote ila asipake rangi nyekundu midomo.... hua ina nikera na kunitibua kichwa. siipendi midomo yenye hiyo rangi
Namba zake hilo jimamaKuna jimama kama two weeks zimepita, lilinihug aseee kichwa kinanuka, ameshona weaving refu basi anavolitupia tupia anajikuta mzungu ptyuuu.... Nikamuwazia mme wake muda wa kulala, poleni sana wanaume
Sio kila anaegeuka kataman au kapenda wengine Tunageuka kushangaa midoli inayotembeaMnapenda vizuri usijitoe ufahamu,we mwenyewe wa kwanza kugeuka ukiwaona hao
Hata namba sinaNamba zake hilo jimama
Yaani jirani yangu hapa yeye kashonea wiving mpaka linataka kuota kama mbegu.sasa akijichora wanja kama mwanasesele.miguu myeusii,sura ya mzungu viwiko kama mkaa,sasa hiyo tembea yake kama miss ruvuma,utaona analitupia wiving kidogo pembeni had vumbi linamtoka kichwani.shikamoo mzungu unatutesea wake zetu kwa mini wasiwe simpo kama lupita nyongo wao ni kuhangaikia matoi.HAPA WANAUME TUNANYANYASWA KIJINSIA
Harufu............Nitavumilia yote,lakini si hiyo.....The worst turn off..Kuna jimama kama two weeks zimepita, lilinihug aseee kichwa kinanuka, ameshona weaving refu basi anavolitupia tupia anajikuta mzungu ptyuuu.... Nikamuwazia mme wake muda wa kulala, poleni sana wanaume
Alikuwa ananuka kichwa, na lile joto ptyuuuHarufu............Nitavumilia yote,lakini si hiyo.....The worst turn off..
tatizo ni nini?Aina ya madawa,kutokuosha kichwa ama ugonjwa?Alikuwa ananuka kichwa, na lile joto ptyuuu
Ni yale manywele, nadhani mchanganyiko wa mafuta na jasho, hayaoshwi ndo yanatoa harufutatizo ni nini?Aina ya madawa,kutokuosha kichwa ama ugonjwa?
Kuna watu wanashonea weaving miezi sita ipo kichwani itaacha kunuka kweli?tatizo ni nini?Aina ya madawa,kutokuosha kichwa ama ugonjwa?
miezi sita!?!..sasa si unatengeneza breeding ground ya vijidudu hatarishi?...Kumbe kuna kinadada wanatembea na kambi za ''fungi'' kichwani..π±Kuna watu wanashonea weaving miezi sita ipo kichwani itaacha kunuka kweli?
Ndiyo maana nikimuona mwanadada kama Irene Kiwia,na'salivate'πNi yale manywele, nadhani mchanganyiko wa mafuta na jasho, hayaoshwi ndo yanatoa harufu
Nadhani mleta mada hakumaanisha mwanamke asijipambe.Haya ni maneno ya mkosaji tu, hakuna mwanaume asiyependa demu anaejipamba.
<br />Ndiyo maana nikimuona mwanadada kama Irene Kiwia,na'salivate'π[quote uid=65641 name="Evelyn Salt" post=17793675]Ni yale manywele, nadhani mchanganyiko wa mafuta na jasho, hayaoshwi ndo yanatoa harufu
Haya ni maneno ya mkosaji tu, hakuna mwanaume asiyependa demu anaejipamba.