Makope, marangi, makucha, na makatani ya wanawake

Huwa unahisi kama zombie limetoka kunywa damu sehemu sasa linakuja na kwako kushushia?
mimi afanye yote ila asipake rangi nyekundu midomo.... hua ina nikera na kunitibua kichwa. siipendi midomo yenye hiyo rangi
 
Kuna jimama kama two weeks zimepita, lilinihug aseee kichwa kinanuka, ameshona weaving refu basi anavolitupia tupia anajikuta mzungu ptyuuu.... Nikamuwazia mme wake muda wa kulala, poleni sana wanaume
 
Namba zake hilo jimama
 
Yaani jirani yangu hapa yeye kashonea wiving mpaka linataka kuota kama mbegu.sasa akijichora wanja kama mwanasesele.miguu myeusii,sura ya mzungu viwiko kama mkaa,sasa hiyo tembea yake kama miss ruvuma,utaona analitupia wiving kidogo pembeni had vumbi linamtoka kichwani.shikamoo mzungu unatutesea wake zetu kwa mini wasiwe simpo kama lupita nyongo wao ni kuhangaikia matoi.HAPA WANAUME TUNANYANYASWA KIJINSIA
 
1474867385333.jpg
1474867395297.jpg
1474867401317.jpg
1474867405952.jpg
1474867423061.jpg
 
Kuna jimama kama two weeks zimepita, lilinihug aseee kichwa kinanuka, ameshona weaving refu basi anavolitupia tupia anajikuta mzungu ptyuuu.... Nikamuwazia mme wake muda wa kulala, poleni sana wanaume
Harufu............Nitavumilia yote,lakini si hiyo.....The worst turn off..
 
Kuna watu wanashonea weaving miezi sita ipo kichwani itaacha kunuka kweli?
miezi sita!?!..sasa si unatengeneza breeding ground ya vijidudu hatarishi?...Kumbe kuna kinadada wanatembea na kambi za ''fungi'' kichwani..😱
 
Ni yale manywele, nadhani mchanganyiko wa mafuta na jasho, hayaoshwi ndo yanatoa harufu
Ndiyo maana nikimuona mwanadada kama Irene Kiwia,na'salivate'🙂
clear.png
...Hakika,Nywele matunzo..Sio unazitelekeza kama mapango ya Torabora...Mwishowe unaonekana kama mummy.
 
Haya ni maneno ya mkosaji tu, hakuna mwanaume asiyependa demu anaejipamba.
Nadhani mleta mada hakumaanisha mwanamke asijipambe.
Mwanamke lazima ajipambe ila tatizo linakuja unajipambaje na materials unazotumia.
 
[quote uid=65641 name="Evelyn Salt" post=17793675]Ni yale manywele, nadhani mchanganyiko wa mafuta na jasho, hayaoshwi ndo yanatoa harufu
<br />Ndiyo maana nikimuona mwanadada kama Irene Kiwia,na'salivate'🙂
clear.png
...Hakika,Nywele matunzo..Sio unazitelekeza kama mapango ya Torabora...Mwishowe unaonekana kama mummy.

Torabora ya mkwawa.AMA?au Na wewe ulikuwa unajilia vyako pale 1999
Tyta
 
Back
Top Bottom