Makosa 99 Yaliyokuwepo Kwenye Talaka niliyompa Mke wangu

Makosa 99 Yaliyokuwepo Kwenye Talaka niliyompa Mke wangu

Namba 14 na 18 ulijuaje


Ila kwa makosa uliyoyairodhesha

Inaelekea hawara wa mke ana Game la hatari.....yaani mkeo kafikishwa mount evarest aisee...utasubiri sana heri umpe talaka tu

Cha kusikitisha kama ni mario sasa hivi mkeo ataachwa akatafutwe mwenye pesa


Na ndio uchungu nilionao, huenda nipo chini ya kiwango kama Underground water.

Kuhusu umario hapana, kwani magari ninampa mimi na pesa
 
Hapo umemlenga Lissu /Chadema Vs Jiwe/Ccm...you got it wrong !
 
Back
Top Bottom