Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Namba 14 na 18 ulijuaje
Ila kwa makosa uliyoyairodhesha
Inaelekea hawara wa mke ana Game la hatari.....yaani mkeo kafikishwa mount evarest aisee...utasubiri sana heri umpe talaka tu
Cha kusikitisha kama ni mario sasa hivi mkeo ataachwa akatafutwe mwenye pesa
Na ndio uchungu nilionao, huenda nipo chini ya kiwango kama Underground water.
Kuhusu umario hapana, kwani magari ninampa mimi na pesa