Makosa gani ambayo Mungu hawezi kusamehe

Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
πŸ™
Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
 
Ostadhi Vipi kuhusu kuinama inama kama una pumuliwa ana samehe?
 
mmmmhhh according to tafasiri yako au according to imeandikwa wap?
 
Ostadhi Vipi kuhusu kuinama inama kama una pumuliwa ana samehe?
Mimi sio ostadhi ila Hilo kosa unasemehewa ndugu, ila tu endapo utaungama dhambi zako kwa dhati na usirudie Tena.
Kuna maandiko nilisoma kwamba hata kama dhambi zako ni nyekundu kama damu ila Mwenyezi Mungu anaweza kuzisafisha kua nyeupe kama theluji endapo utakiri kwa dhati na kuacha dhambi hizo, ila isipokuwa kumkufuru tu Mwenyezi Mungu
 
mbon yeye anasema samehe mara 70 mara 70
 
Kama ni hayo 90% ya wabongo hawatasamehewa.
 
Wewe kakwambia nani haya? Au ni kwa muongozo wa mafundisho ya imani yako.
 
Si anasema yeye ni Mwingi wa Rehema au

Mwingi wa Rehema ni Moja ya sifa zake, ila zipo nyingi sana nyingine ndugu, level ya kumkufuru roho Mtakatifu baada ya kumfaham sio jambo rahisi lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…