Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 3,167
- 5,661
Hawa wafia dini wanatutisha tu kumbe,.. utasikia oh ukijiua utaenda motoni.Ni mojawapo ya njia ya kawaida kabisa ya kuutenganisha mwili na nafsi.
Hawa wafia dini wanatutisha tu kumbe,.. utasikia oh ukijiua utaenda motoni.Ni mojawapo ya njia ya kawaida kabisa ya kuutenganisha mwili na nafsi.
uongooooooUpo sahihi kwa upande mmoja na ni kama hiyo miungu ni kama kuabudu ng'ombe kama wahindu n.k
Ila kwa upande mwingine kama hiyo miungu inahusisha uchawi na uganga wa kienyeji basi hapo tayari ni kumkufuru Mungu.
Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
🙏
kosa ambalo MUNGU asamehi ni"kumkashifu ROHO MTAKATIFU"...na kosa lilofanya shetani ni kukataa kumsujudia adamNaomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
🙏
Prove unachokisema kulingana na hayo maandikoNdio unaelewa hivyo kwamba mtu akiweka reference ya maandiko anakua hana hoja ya msingi?
KUMILIKI KADI YA UWANACHAMA WA (CCM) au kunga mkono hicho chama kwa namna yeyote 🙌🙌🙌🙌Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
🙏
Ukiwa kama chukuwachakomapema!Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
🙏
Na ww kijana wangu,, unauelewa mdogo!Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Mkuu kama Kuna mitihani basi kumpendeza Mungu kwenye njia zako zote ndo mtihani wa kwanzaKosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Naunga mkono hoja