Makosa gani ambayo Mungu hawezi kusamehe

Makosa gani ambayo Mungu hawezi kusamehe

Mungu hayupo.

Shetani hayupo.

Mungu na shetani ni fictional characters wanao exist kwenye vitabu tu.
 
Nimekupa hadi reference kwenye moja ya amri za Mwenyezi Mungu zinazosema kwamba
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine"
unataka nikwambie na hiyo amri imeandikwa wapi?
kuwa na miungu sio kumkufuru Roho
 
Nimeandika kwamba hata katika moja ya amri za Mwenyezi Mungu zinasema kwamba
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine"
Haujui hayo maandiko yanapatikana wapi?
Imeandikwa na nani?

Ukishafanya reference ya maandiko tu basi huna hoja ya msingi, huwa hayana physical facts ni mwendo wa kuaminishana maneno matupu.
 
Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Ujui kusoma maandiko na kuyaelewa hakuna kosa lisilo sameheka kwa kiumbe ambacho qkija laaniwa bado hata shetani kabla ya kumdanganya adamu na hawa alikuwa anao uwezo wa kusamehewa hadi pale alipo wadanganya na kulaaniwa .....sasa hapa kuna kituko cha mudi boy ...yeye mudiboy anasema adamu akufanya jitihada kwa shetani kumtakia toba ...hapa siyo kweli kwa,sababu kilicho laaniwa na mungu mwenyewe akiwezi kupata toba inakuwa kama siku ya kiama kusivyo kuwa na toba .....Muhammad hajui hata LAANA NI NINI ? 😁 NI MTUME FEKI NA KANJANJA TU ...Tena muhamadi anadai kamwombea na kufanikisha toba ya shetani kwa Allah 😁😁😁 kituko SHETANI ALIYE IBILISI ALISHA LAANIWA LAANA YA MILELE HAKUNA TOBA WALA AWAJIBIKI NA KUTUBU.
 
Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Vipi kujiua..(SUICIDE).?
 
kuwa na miungu sio kumkufuru Roho
Upo sahihi kwa upande mmoja na ni kama hiyo miungu ni kama kuabudu ng'ombe kama wahindu n.k
Ila kwa upande mwingine kama hiyo miungu inahusisha uchawi na uganga wa kienyeji basi hapo tayari ni kumkufuru Mungu.
 
Karibuni bia jamani......

View attachment 3340209
Mkishalewa huko pombe za mama mje huku tuchome nyama za mama. Mpaka kieleweke yaani! 😜

Screenshot_20250306-183123_1.jpg
 
Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
🙏
Kimsingi hakuna dhambi ambayo Mungu Mwenyezi hawezi kuisamehe kama mtu unaomba msamaha wa kweli. Ila mtu yule anayekataa msamaha na neema ya Mungu ya kupata wokovu hawezi kusamehewa kwa wakati huo akiwa amekataa.
 
Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Lakini Ukifanya haya baadae ukafanya Toba ya Kweli na Kuachana nayo Nadhani MUNGU anasamehe!
 
Mathayo 12:31 Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa. Wherefore I say unto you, All manner of sin and blasphemy shall be forgiven unto men: but the blasphemy against the Holy Ghost shall not be forgiven unto men.

👆🏼👆🏼 hiyo ndo dhambi ambayo haitasamehewa
 
Lakini Ukifanya haya baadae ukafanya Toba ya Kweli na Kuachana nayo Nadhani MUNGU anasamehe!
Kwakweli hapo siwezi kukupa jibu kama ndio au sio sababu,
Maandiko yanaonesha kwamba dhambi za kumkufuru Mungu hautasamehewa, ila hayo maandiko hayajaonesha kwamba kama ukifanya Toba ya kweli na kuachana nayo Mungu anasamehe.
 
Back
Top Bottom