Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
kuwa na miungu sio kumkufuru RohoNimekupa hadi reference kwenye moja ya amri za Mwenyezi Mungu zinazosema kwamba
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine"
unataka nikwambie na hiyo amri imeandikwa wapi?
Nimeandika kwamba hata katika moja ya amri za Mwenyezi Mungu zinasema kwambaWewe kakwambia nani haya? Au ni kwa muongozo wa mafundisho ya imani yako.
Kwanini ndugu?Kama ni hayo 90% ya wabongo hawatasamehewa.
Imeandikwa na nani?Nimeandika kwamba hata katika moja ya amri za Mwenyezi Mungu zinasema kwamba
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine"
Haujui hayo maandiko yanapatikana wapi?
Ujui kusoma maandiko na kuyaelewa hakuna kosa lisilo sameheka kwa kiumbe ambacho qkija laaniwa bado hata shetani kabla ya kumdanganya adamu na hawa alikuwa anao uwezo wa kusamehewa hadi pale alipo wadanganya na kulaaniwa .....sasa hapa kuna kituko cha mudi boy ...yeye mudiboy anasema adamu akufanya jitihada kwa shetani kumtakia toba ...hapa siyo kweli kwa,sababu kilicho laaniwa na mungu mwenyewe akiwezi kupata toba inakuwa kama siku ya kiama kusivyo kuwa na toba .....Muhammad hajui hata LAANA NI NINI ? π NI MTUME FEKI NA KANJANJA TU ...Tena muhamadi anadai kamwombea na kufanikisha toba ya shetani kwa Allah πππ kituko SHETANI ALIYE IBILISI ALISHA LAANIWA LAANA YA MILELE HAKUNA TOBA WALA AWAJIBIKI NA KUTUBU.Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Vipi kujiua..(SUICIDE).?Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Upo sahihi kwa upande mmoja na ni kama hiyo miungu ni kama kuabudu ng'ombe kama wahindu n.kkuwa na miungu sio kumkufuru Roho
Ndio unaelewa hivyo kwamba mtu akiweka reference ya maandiko anakua hana hoja ya msingi?Imeandikwa na nani?
Ukishafanya reference ya maandiko tu basi huna hoja ya msingi, huwa hayana physical facts ni mwendo wa kuaminishana maneno matupu.
Kujiua ni dhambi sababu hata moja katika amri kumi za Mwenyezi Mungu inasema " USIUE" ikiwemo na wewe pia usijiue, ila dhambi ya kujiua sio kufuru.Vipi kujiua..(SUICIDE).?
Ahsante mkuu.Kujiua ni dhambi sababu hata moja katika amri kumi za Mwenyezi Mungu inasema " USIUE" ikiwemo na wewe pia usijiue, ila dhambi ya kujiua sio kufuru.
Mkishalewa huko pombe za mama mje huku tuchome nyama za mama. Mpaka kieleweke yaani! π
Kimsingi hakuna dhambi ambayo Mungu Mwenyezi hawezi kuisamehe kama mtu unaomba msamaha wa kweli. Ila mtu yule anayekataa msamaha na neema ya Mungu ya kupata wokovu hawezi kusamehewa kwa wakati huo akiwa amekataa.Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
π
Lakini Ukifanya haya baadae ukafanya Toba ya Kweli na Kuachana nayo Nadhani MUNGU anasamehe!Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,
kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine.
Moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
Mifano ya matukio ya kumkufuru Mungu ni
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Ni mojawapo ya njia ya kawaida kabisa ya kuutenganisha mwili na nafsi.Vipi kujiua..(SUICIDE).?
Kwakweli hapo siwezi kukupa jibu kama ndio au sio sababu,Lakini Ukifanya haya baadae ukafanya Toba ya Kweli na Kuachana nayo Nadhani MUNGU anasamehe!