Makosa gani ambayo Mungu hawezi kusamehe

Upo sahihi kwa upande mmoja na ni kama hiyo miungu ni kama kuabudu ng'ombe kama wahindu n.k
Ila kwa upande mwingine kama hiyo miungu inahusisha uchawi na uganga wa kienyeji basi hapo tayari ni kumkufuru Mungu.
uongoooooo
 
Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
πŸ™
kosa ambalo MUNGU asamehi ni"kumkashifu ROHO MTAKATIFU"...na kosa lilofanya shetani ni kukataa kumsujudia adam
 
Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
πŸ™
KUMILIKI KADI YA UWANACHAMA WA (CCM) au kunga mkono hicho chama kwa namna yeyote πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Na ww kijana wangu,, unauelewa mdogo!
Kashasema,
πŸ“– Book of Isaiah 1:18
β€œHaya, njoni, tusemezane,” asema BWANA;
β€œijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama bendera,
zitakuwa nyeupe kama theluji;
ijapokuwa ni nyekundu kama sufu, zitakuwa kama sufu nyeupe.”

Unahisi MUNGU hawezi kukusamehe ukifanya kosa KUBWA.?
Lahasha!, mlejee Paul alikua nani nani kabla hajawa mtumishi wa MUNGU! - alikua muuaji sio muuaji tu bali muuaji wa watumishi wa MUNGU 😬
 
Mkuu kama Kuna mitihani basi kumpendeza Mungu kwenye njia zako zote ndo mtihani wa kwanza
 
Makosa Yako mengi lakini kubwa zaidi ni

Kumrudia Ex wako aisee hii adhabu nahisi atataka aisimamie malaika mwenyewe mtoa roho

Maana hata maandiko yamekataza kumrudia ex (mithal 26:11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…