Weka picha mkuu... Kuna wengine hawana muda wa kwenda huko shule lakini lakini tatizo hilo linaweza kushughulikiwaHivi ni kazi kubwa kiasi gani kwenda shuleni ukaangalia hiyo mihutasari? Sehemu za kupata soft copy za nyaraka za serikali kama hizo pia hamzijui?
Washambuliaji wengi wenu msije kuwa ndio waandaaji wenyewe wa ile mihutasari! Acheni kutafuta kujishikiza mahala pasipo shikizika jambo la msingi rekebisheni Nembo ile au kama ni sahihi kuwa vile basi toeni ufafanuzi tulioona tatizo tutokwe na utata wa jambo hilo.
kumbe treiniiiYaani hata mniite zwazwa, kiazi au jina baya gani bado sitaweza kuleta picha hapa kwa sababu mimi ni mtumishi na natambua maadili ya utumishi!
Nani anajua kua wewe ni mtumishi au siyo mtumishi?Yaani hata mniite zwazwa, kiazi au jina baya gani bado sitaweza kuleta picha hapa kwa sababu mimi ni mtumishi na natambua maadili ya utumishi!
Anafuata miiko na maadili..hahahahahakumbe treiniii