Makosa ndani ya Makala ya Mama Maria Nyerere Kutimiza Miaka 93

Makosa ndani ya Makala ya Mama Maria Nyerere Kutimiza Miaka 93

James...
Mimi napata tabu na lugha.

Nakueleza historia ya watu ambao mimi ni wazee wangu na takriban wote wamekufa.

Nakusihi sana weka staha.

Ungeweza kuniuliza ukasema ilikuwaje uchaguzi ukawa hivi.

Nakuhakokishia ungepata mengi.

Hivi ni vipande vya historia ninapovieleza katika mihadhara watu wanasisimka.
Umenielewa vibaya nadhani. Samahani kama nimekukwaza. Ila kilichonisukukuma kusema hivyo ni yale maelezo yako ya awali kuwa tayari kuna watu walishakaa na kuamua kuwa Nyerere awekwe katika circle na awe rais wa TAA. Na watu hao walikua na influence kubwa ndani ya chama. Na sababu za wao kufanya hivyo ukazieleza na zilikuwa sababu za msingi. Na baadaye ndiyo ukafanyika uchaguzi. Kwa mawazo ya haraka haraka ni wazi kuwa Nyerere angeshinda uchaguzi huo. Nadhani uchaguzi wangu wa neno 'geresha' umekuudhi.
 
Sasa unaandika kama msomi.
Nimefurahi.

Nyerere kwa Dar es Salaam ya 1950 asingeweza kumshinda Abdul Sykes.

Chama cha AA kiliasisiwa na baba yake 1929, kisha akaasisi Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933.

Alikuwa pia katika Dar es Salaam Chamber of Commerce akiwa Mwafrika pekee.

Chamber yote Wahindi watupu.

Alikuwa mfanyabiashara mkubwa na mtu maarufu wa kimji.

Alikuwa pia Mjumbe Maulid Committee.

Abdul alikuwa Secretary wa TAA baada ya kifo cha baba yake 1949 na kama baba take alikuwa mfadhili wa TAA.

Nyerere alikuwa mgeni na mwenyeji wake ni Abdul Sykes ambae anashindananae katika uchaguzi.

Naamini umeelewa.
 
Mama...
Sijui kwa nini unakosa staha.

Huu ni mjadala tu hapana sababu ya wewe kuchukua hulka ya wahuni.

Mimi ni Mzee nakimbilia miaka 71.
Hili la Nyerere kupata ushindi mdogo unaweza kusoma katika "The Making of Tanganyika," kitabu alichoandika Judith Listowel.

Baada ya ushindi huu wa Nyerere TAA ilikufa ikawa watu wakiitwa kwenye mikutano hawatokei.

Wazee wangu walikuwa wameelimika.
1953 Abdul Sykes alikuwa na admission ya Princeton University New Jersey.
Kuwa mzee sio sababu ya wewe kupotosha umma na sisi kukaa kimya. Chuki zako kwa Nyerere hazitasaidia kitu. Tayari Tanzania inamtambua Nyerere na sio hao wazee wako wa Kariakoo. Inawezekana wazee wako walikuwa wazalendo ila wewe kwa sababu unazozijua binafsi ndo unatumia majina yao kusukuma agenda yako ambayo tumeishtukia.
 
Mimi naeleza historia kama ilivyokuwa na haya yote unayoyasoma hapa yamo ndani ya kitabu cha Abdul Sykes.

Kitabu kinasomwa sasa mwaka wa 25 na kimependwa kinakimbilia toleo la 5.

Ukweli ni kuwa kitabu kimebadili historia yote ya TANU na ya Mwalimu.

Watanzania wanaisoma upya historia ya ukombozi wa Tanganyika.

Wewe hukuwa unaijua historia hii.
Leo unasoma mambo mapya kabisa.

Tuendelee na mazungumzo.
 
Ulichoandika wewe ni historia ya ukoo wa Sykes na sio TANU. Kitabu chako hakina tofauti na kitabu cha Joseph Mbilinyi "Mr II" aliyeandika kuhusu maisha yake.
 
Ulichoandika wewe ni historia ya ukoo wa Sykes na sio TANU. Kitabu chako hakina tofauti na kitabu cha Joseph Mbilinyi "Mr II" aliyeandika kuhusu maisha yake.
Mama...
Hapana nakuwekea sura za kitabu hapo chini uangalie kilichomo:

The Life and Times of Abdulwahid Sykes
(1924-1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika
Mohamed Said

Table of Contents​

Dedication
Acknowledgements
Table of Contents
Introduction

Part One​

Abdulwahid Sykes 1924-1968​

Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929
The Old Town of Dar es Salaam and its Elites
Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949
World War One 1914-1918
The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933

Chapter 2.The Second World War and Tanganyika’s Political Foundation, 1938-1945

The Burma Infantry, 1942
Chapter 3. Dar es Salaam Dockworkers Movement 1947-1950
Dar es Salaam Port, 1947
Erika Fiah
The Dockworkers’ Union, 1948

Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954
The Tanganyika African Association, 1950
TAA Political Subcommittee, 1951
Tanganyika as a Mandate Territory
Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950
TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950
The Meru Land Evictions, 1950
Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere
The Story of Julius Nyerere, 1952
Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954
Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953
Ally Kleist Sykes

Part Two​

Mass Mobilisation and Independence 1954-1961​

Chapter 7. Mass Mobilisation 1954
The Elders’ Council and Nyerere’s Visit to the United Nations, New York, 1954
Idd Faiz Mafongo
The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950
Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952
Propagandists-The Bantu Group,1955
Incorporation of Swahili Women’s Societies into the Struggle, 1955
Football As a Political Weapon
Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces
Central Province, 1955
Southern Province, 1955
Western Province, 1955
Tanga Province, 1956
TANU in Mombasa, Kenya, 1957
Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958
The Tanga Strategy, 1958
The Debate for Tripartite Voting
Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
Independence, 1961

Part Three​

Conspiracy Against Islam 1961-1970​

Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970
Islam: The Ideology of Colonial Resistance
The First Muslim Congress, 1962
Resistance to Change
The Second Muslim Congress, 1963
Proposal for an Islamic University, 1964
The Politics of Islam, Church, State and the African Christian
Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis’
Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis’
Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968
The Islamic National Conference, 1968
Omissions Analysed
Betrayal of Ideals
Conspiracy Theory
Epilogue
Bibliography
 
Kitabu chako ni kizuri kwa watu wanaotaka kujua historia ya Abdulwahid Sykes na sio Nyerere wala Tanzania kwa ujumla. Kitabu chako ni kwa ajili ya Sykes na wengine wanaokuhusu wewe binafsi. Umetajiwa majina mengi ya watu walioshiriki harakati za uhuru lakini kwa makusudi kabisa unajifanya huoni.
 
Mimi nafahamu ni kiasi gani baadhi ya watu walivyoumizwa na kitabu hiki.

Yote niliyoandika yalikuwa yamefutwa katika historia ya uhuru pakapachikwa historia nyingine.

Kitabu kimefanyiwa "review" na mabingwa watatu wa African History: John Iliffe, James Brennan na Jonathon Glassman na "reviews" hizi zikachapwa katika Cambridge Journal of African History (1998).

Naamini unafahamu nini maana ya kitabu changu kutiwa katika Cambridge Journal of African History.

Mambo hayakuishia hapo.

Sykes wakatiwa katika Dictionary of African Biography (DAB), (2011) na mimi nikatiwa katika orodha ya waandishi 500 kutoka kila pembe ya dunia walioshiriki katika kuandika kamusi hii ya volume 6.

Baba Kleist Sykes aliakuwa mwasisi wa African Association mwaka wa 1929.

Wanae wawili waasisi wa TANU mwaka wa 1954.

Historia ya wazalendo hawa ikafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Unadhani hii ilikuwa sawa?

Ilipokuja kuandikwa kitabu cha Julius Nyerere(2020), nikashirikishwa pia katika kumweleza Mwalimu katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nadhani unafahamu kuwa kitabu hiki kimeandikwa kama juhudi ya kujaribu kujibu kitabu changu na chanzo chake ni marehemu Prof. Haroub Othman mwaka wa 1998.

Yapo mengi lakini tutosheke na haya.
 
Nyerere aliona mbali sana, hii nchi leo ingejaa Udini, ukiangalia dini zenyewe tumeletewa tu ndio maana akawazima anko zake Ndugu. Mohamed Said. Badala ya kujivunia U Tanganyika mtu yuko radhi kujivunia u Islam/Kristo na bado ukienda kwa wenye hizo dini zao unaonekana ni Nyani tu mwenye uwezo wa kutembea kwa miguu miwili, akili za kitumwa kabisa hizi. Pumzika kwa Amani Nyerere
 
Masta...
Bildad Kaggia alipoandika "Roots of Freedom," (1975) kueleza harakati za uhuru wa Kenya hakufanya hivyo kusomesha ukabila na Ukikuyu.

Alifanya vile kuhifadhi mchango wa Wakikuyu kama jamii iliyojitolea kupigania uhuru wa Kenya kwa silaha.

Halikadhalika sikuandika kitabu hiki kueleza Uislam bali kuhifadhi historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ushajiuliza kwa nini historia hii ilifutwa?
 
Ulilikusudia kundi gani?
James...
Niliwakusudia vyuo vikuu vya Ulaya na Marekani vilivyokuwa na idara ya African Studies kama Northwestern University, Chicago.

Bahati nzuri chuo hiki kilinialika kwenda kufanya mhadhara.

Aliyenialika ni Jonathon Glassman ambae alifanya review ya kitabu.
 
Mama...
Mimi nafahamu ni kiasi gani baadhi ya watu walivyoumizwa na kitabu hiki.

Yote niliyoandika yalikuwa yamefutwa katika historia ya uhuru pakapachikwa historia nyingine.

Kitabu kimefanyiwa "review" na mabingwa watatu wa African History: John Iliffe, James Brennan na Jonathon Glassman na "reviews" hizi zikachapwa katika Cambridge Journal of African History (1998).

Naamini unafahamu nini maana ya kitabu changu kutiwa katika Cambridge Journal of African History.

Mambo hayakuishia hapo.

Sykes wakatiwa katika Dictionary of African Biography (DAB), (2011) na mimi nikatiwa katika orodha ya waandishi 500 kutoka kila pembe ya dunia walioshiriki katika kuandika kamusi hii ya volume 6.

Baba Kleist Sykes aliakuwa mwasisi wa African Association mwaka wa 1929.

Wanae wawili waasisi wa TANU mwaka wa 1954.

Historia ya wazalendo hawa ikafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Unadhani hii ilikuwa sawa?

Ilipokuja kuandikwa kitabu cha Julius Nyerere(2020), nikashirikishwa pia katika kumweleza Mwalimu katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nadhani unafahamu kuwa kitabu hiki kimeandikwa kama juhudi ya kujaribu kujibu kitabu changu na chanzo chake ni marehemu Prof. Haroub Othman mwaka wa 1998.

Yapo mengi lakini tutosheke na haya.
Najua unatamani sana kusema uhuru uliletwa na kina Sykes ila bahati mbaya hiyo nafasi haipo. Pole sana Mzee Mohamed. Hao Cambridge kukutambua wewe na kitabu chako haituhusu. Hiyo ni kwa faida yako binafsi. Sisi watanzania tunamtambua Nyerere na sio hao ndugu zako.
 
Nyerere aliona mbali sana, hii nchi leo ingejaa Udini, ukiangalia dini zenyewe tumeletewa tu ndio maana akawazima anko zake Ndugu. Mohamed Said. Badala ya kujivunia U Tanganyika mtu yuko radhi kujivunia u Islam/Kristo na bado ukienda kwa wenye hizo dini zao unaonekana ni Nyani tu mwenye uwezo wa kutembea kwa miguu miwili, akili za kitumwa kabisa hizi. Pumzika kwa Amani Nyerere
Huyu Mzee anashangaza sana. Pamoja na usomi wake bado anasambaza fikra za hovyo mno. Huyu ni aibu ya taifa.
 
Najua unatamani sana kusema uhuru uliletwa na kina Sykes ila bahati mbaya hiyo nafasi haipo. Pole sana Mzee Mohamed. Hao Cambridge kukutambua wewe na kitabu chako haituhusu. Hiyo ni kwa faida yako binafsi. Sisi watanzania tunamtambua Nyerere na sio hao ndugu zako.
Mama...
Siwezi kusema kuwa uhuru wa Tanganyika uliletwa na akina Sykes.

Ningeandika hivyo katika kitabu changu ningekiua hiki kitabu kwani hakuna mtu angeamini maneno yangu.

Sykes nimewaeleza kwa sifa na umaarufu wao kwa yale waliyofanya ambayo sasa wengi wanayafahamu na nchi imewaadhimisha Abdul na Ally Sykes kwa kuwapa medali ya Mwenge wa Uhuru.

Baba yao Kleist Sykes ametambuliwa na Afrika kwa historia yake kuwekwa katika Dictionary of African Biography (DAB).

Sijasema kama wewe unahusika na Cambridge Journal of African history na kwa bahati mbaya umetumia wingi kwa kusema, "Haituhusu."

Ilikuwa utumie neno la umoja, "Hainuhusu."

Hapa utakuwa umejitoa na kwa hakika hakuna wa kukulazimisha uhusike.

Ukweli ni kuwa hili la "Cambridge" ni moja ya vipimo vinavyotumika kila siku kwa mimi kupimwa uwezo wangu katika nyanza hizi.

Kuhusu Mwalimu Nyerere.

Laiti mimi ningeandika kitabu hiki na ndani yake nikakanyaga historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika ningekiua kitabu.

Kitabu hiki kimepata ufanisi mkubwa kwa kueleza mambo muhimu katika uhuru wa Tanganyika ambayo yalifanyika hata Nyerere hajafika Dar es Salaam.

Abdul Sykes na askari wa KAR 6th Battalion waliazimia kuunda TANU wakiwa Burma na mkutano wao wa mwisho walifanya mkesha wa Christmas wakiwa Kalieni Camp mwaka wa 1945 wakisubiri kurejeshwa Tanganyika baada ya kunalizika vita.

Abdul Sykes amekutana na Jomo Kenyatta katika mkutano wa siri Nairobi mwaka wa 1950 kwa nia ya kuunganisha nguvu za Tanganyika na Kenya kupambana na Waingereza.

Ally Sykes akiandikiana na Kenneth David Kaunda 1953 Nyerere hajafahamiana na Kaunda.

Yapo mengi na haya ndiyo yaliyofanya kitabu cha Abdul Sykes kivutie na kiendelee kupendwa na wasomaji.

Wasomaji wanasoma historia mpya ya TANU wasomaji wanasoma historia mpya ya Nyerere.

Juu ya haya yote Mwalimu Julius Kambarage Nyerere atabakia na sifa yake ya kuwa Baba wa Taifa la Tanzania.
 
Wewe ndio uwaandike hao wengine kama alivyofanya Mohamed Said. Hawezi kuandika wote ameandika wale aliopata historia zao. Tatizo anachoandika hamkitaki. Lakini hamleti ushahidi wenye nguvu.

Nguvu kubwa mnatumia kupinga. Kinachotakiwa leteni kilicho sahihi kuliko chake. Ukweli imeshindikana kilicho baki ni kutumia lugha kali na kumshutumu udini. Vinginevyo tumeshindwa kuja na taarifa zaidi yake.
Lakini nani mwingine historia yake iliandikwa pamoja na ya Nyerere? Sidhani kama waliachwa wakina Sykes peke yao.

Amandla...
 
"Tazama mnavyojazana hapa.
Kitu gani kinawaleteni kwangu?"....
hahaha mzee umepigwa spana hadi umekasirika. Hapa sio kwako.. hapa ni JamiiForums. Wewe ulichoandika ni historia ya ndugu zako na sio TANU, UHURU wala NYERERE. Chuki zako za kidini baki nazo hukohuko kwako usizieneze mitandaoni. Nampongeza sana Mwalimu Nyerere kwa kuwafutilia mbali hao wazee wako wapumbavu waliotaka kuleta upumbavu wao kwenye taifa letu. Hata wewe pia ni mtu uliyepuuzwa umebaki kubwabwaja kuhusu Sykes kila siku.
Punguza hasira.
Huyu Mzee kwa history ya Tanganyika kashindikana. Wamejaribu wenzio wengi humu JF wameshindwa.
Wakaungana na kuahidi kutoa kitabu mpaka leo kimya.

Anaandika anachokijua. Na dalili za kushindwa hoja angalia unachoandika. Tunaelimika sana na maandishi yake. Kadri mnavyoleta dhihaka yeye anashusha nondo. Hatoke kwenye mjadala na kujibu kebehi. Na wengi tunavutika kwa namna anavyoelezea.

Tuwapongeze kwa namna mnavyosababisha atoe faida kwetu.
 
Hata shetani ana wafuasi wake. Yaani wapo wanaomuelewa.
 
Hata shetani ana wafuasi wake. Yaani wapo wanaomuelewa.
Mama...
Hili si jambo la maskhara.

Mimi sikuandika kitabu cha Abdul Sykes kutoka fikra za utashi wangu.

Nimefanya utafiti na kuwahoji watu waliokuwapo na kusoma nyaraka.

Nimefika hadi Maktaba ya CCM Dodoma na nimekaa pale.

Ndiyo maana kitabu hiki kimevutia wasomaji wengi.

Kitabu kimebadili historia nzima ya Mwalimu Nyerere ikieleza historia yake toka alipofika Dar-es-Salaam 1952, nani walimpokea vipi aliingizwa ndani ya uongozi wa TAA 1953 nk.

Kitabu kuingizwa ndani ya Cambridge Journal of African History si mchezo.

Wala usidhani mimi najipigia zumari.

Prof. Haroub Othman alipata mshtuko mkubwa kushinda huu wako unaokufanya ukatae kukubali kuwa haya unayosoma kwangu kweli yaliyotokea.

Northwestern University, Evanston, Chicago mabingwa wanaoongoza katika African History wakanialika chuoni kwao kufanya mhadhara.

Nyerere ni kiongozi mkubwa
Afrika.

Katika kutoa neno la shukurani Jonathan Glassman alisema, "We did not know that Nyerere came into power through a very strong Muslim support."
 
Mama...
Hili si jambo la maskhara.

Mimi sikuandika kitabu cha Abdul Sykes kutoka fikra za utashi wangu.

Nimefanya utafiti na kuwahoji watu waliokuwapo na kusoma nyaraka.

Nimefika hadi Maktaba ya CCM Dodoma na nimekaa pale.

Ndiyo maana kitabu hiki kimevutia wasomaji wengi.

Kitabu kimebadili historia nzima ya Mwalimu Nyerere ikieleza historia yake toka alipofika Dar-es-Salaam 1952, nani walimpokea vipi aliingizwa ndani ya uongozi wa TAA 1953 nk.

Kitabu kuingizwa ndani ya Cambridge Journal of African History si mchezo.

Wala usidhani mimi najipigia zumari.

Prof. Haroub Othman alipata mshtuko mkubwa kushinda huu wako unaokufanya ukatae kukubali kuwa haya unayosoma kwangu kweli yaliyotokea.

Northwestern University, Evanston, Chicago mabingwa wanaoongoza katika African History wakanialika chuoni kwao kufanya mhadhara.

Nyerere ni kiongozi mkubwq Afrika.

Katika kutoa neno la shukurani Jonathan Glassman alisema, "We didi not know that Nyerere came into power through a very strong Muslim support."
Historia yako yote imeegemea kwa Sykes na uislamu kana kwamba hii nchi ilikuwa ya kiislamu. Maandiko yako karibu yote sijaona ukitaja jitihada zilizofanywa na mtu mwenye jina la kikristo. Hao wazungu waliokuita ukafanye mhadhara vyuoni kwao hawawezi kujua mambo yote yanayohusu nchi yetu. Hata mimi nikitaka kuandika kitabu kwa kusikiliza stori za babu zangu ninaweza. Kuna mzee wangu anaishi Ilala alikuwepo siku ya sherehe za uhuru 1961 na huwa ana mambo mengi sana ya kusimulia. USILAZIMISHE SIMULIZI ZA WAZEE WAKO NDO ZIKAWA MSIMAMO WA NCHI.
 
Hata shetani ana wafuasi wake. Yaani wapo wanaomuelewa.
Pole MamaSamia2025 umeumia sana na Historia hii.
Ni wengi yaliwasibu kama wewe waliposikia kwa mara ya kwanza.
Walighadhibika na kutoa maneno ya hovyo kama yako.

Jambo lenye kufurahisha sasa Historia ya Tanganyika inawataja
wale ambao awali hawakutajwa kabisa ikimtaja mtu mmoja pekee.

Tunamshukuru sana Mzee wetu Mohamed Said ameweka athari kubwa katika Historia ya Tanganyika
ambayo ni ngumu tena kufutika. Amerejesha kile kilichofichwa na kufutwa.

Hivi vilio vyenu ni dalili ya somo lake kuwafikia vyema.
 
Back
Top Bottom