Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tuwashawishi familia zote zilizopoteza Wapendwa wao au waliojeruhiwa Kama wakina Lissu mbele ya Polisi wafungue kesi hatoki huyo MbwigaSIJAONA la ajabu Kosa la SIRRO, kama binadamu hawezi kosa mapungufu kwa wadhifa mkubwa kama huo, tambua nae yuko chini ya mamlaka, na sheria..
Kosa lake ni kuumaliza ugaidi wa mkulanga ?
Halafu Mama bado yuko na Hapi kwenye utawala wake. Mambo ya aibu kabisaIGP Bora apumzike,huku magufur,huku sirro,huku makonda huku sabaya,huku ally hapiii hizo kolabo usipime Ni mwendo wa kupoteza na kuuwa.
Siku watawala wa kiafrica wakianza kuishia jela kama mabara mengine Afrika itakuwa na maendeleo.WAZO ZURI nadhani Tufike Mahal tuanze kuwashughulikia hawa Viongozi ili liwe SOMO kwa Wengine
Halafu Mama bado yuko na Hapi kwenye utawala wake. Mambo ya aibu kabisa