Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mangu was the bestIGP alikuwa Said Mwema angalau na Mangu kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mangu was the bestIGP alikuwa Said Mwema angalau na Mangu kidogo.
Silo kaharibu kabisa hadhi ya polisi kwa kuifanya iwe mbadala wa ccm bado usajili tu iwe chama cha siasaMangu was the best
Vijana wa Sirro wanapambana na upinzani badala kupambana na uhalifu.Silo kaharibu kabisa hadhi ya polisi kwa kuifanya iwe mbadala wa ccm bado usajili tu iwe chama cha siasa
Wanazidiwa weledi hata na vijana wa Malawi huwezi kuta police malawi wanalinda chamaVijana wa Sirro wanapambana na upinzani badala kupambana na uhalifu.
Igp siro ni Kati ya ma igp wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.
Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.
Mods msifute huu Uzi. Siro ni doa ndani ya serikali.
[/QUOT
Itapendeza
IGP wa hovyo Tanzania alikuwa ni Omari Mahita, jamaa aliua watu wengi sana yule. Benki zote zilizokuwa zinaibiwa na kuuliwa walinzi hapa Tanzania ilikuwa ni kazi ya Mahita, alimiliki vikundi vya majambazi kufanya uharifu kumnufaisha yeye na hata Kikwete alikuwa anajuwa hili. Mahita akamatwe anyongwe haraka sana.Igp siro ni Kati ya ma igp wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.
Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.
Mods msifute huu Uzi. Siro ni doa ndani ya serikali.
Kuna siku tusipojisahihisha, Watanzania watakwenda Umoja wa Mataifa kudai uhuru wa kisiasa, awamu ya pili. Na jamii ya Ulimwengu watawaelewa Watanzania wanachodai!IGP wa hovyo Tanzania alikuwa ni Omari Mahita, jamaa aliua watu wengi sana yule. Benki zote zilizokuwa zinaibiwa na kuuliwa walinzi hapa Tanzania ilikuwa ni kazi ya Mahita, alimiliki vikundi vya majambazi kufanya uharifu kumnufaisha yeye na hata Kikwete alikuwa anajuwa hili. Mahita akamatwe anyongwe haraka sana.
Magaidi mnamchukia sana Siro, haiwasaidii, ataendelea kuwagonga tu mpaka mnyookeIgp siro ni Kati ya ma igp wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.
Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.
Mods msifute huu Uzi. Siro ni doa ndani ya serikali.
Okay mbona hilo ni tatizo la serikali husika (tena kwa hakika kuanzia chama tawala)Inabidi tuwashawishi familia zote zilizopoteza Wapendwa wao au waliojeruhiwa Kama wakina Lissu mbele ya Polisi wafungue kesi hatoki huyo Mbwiga
Na akienda Segerea inabidi wampe kazi ya kuosha vyombo kwa kazi zake za ovyo kabisaa....Huyu hastahili hata kusubiri astaafu. Anatakiwa hivi sasa awe segerea.
Yuko chanika kwenye bar ya babaake[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Akiuona huu uzi atanuna.Hivi yule mtoto wake muhunimuhuni na wa hovyohovyo yupo?
Sirro ana "bahati" sana!Hajapata mtoto wa hovyohovyo.Yuko chanika kwenye bar ya babaake
Yaleyale ya nilitumwa tuSIJAONA la ajabu Kosa la SIRRO, kama binadamu hawezi kosa mapungufu kwa wadhifa mkubwa kama huo, tambua nae yuko chini ya mamlaka, na sheria..
Kosa lake ni kuumaliza ugaidi wa mkulanga ?