Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Inabidi wamkamate Mahita haraka sana kabla hajajiua.Kuna siku tusipojisahihisha, Watanzania watakwenda Umoja wa Mataifa kudai uhuru wa kisiasa, awamu ya pili. Na jamii ya Ulimwengu watawaelewa Watanzania wanachodai!