Uchaguzi 2020 Makosa ya Lissu yanaweza kutumiwa na CCM kumzidi kete kisiasa

Hivi unajua kama hayo ndio yanayomgusa mwananchi moja kwa moja?
 
Crimea
Mkuu pole wewe na huyu anaeongelea petty issues mpo level moja,rais kuongelea vitu vidogo vidogo Kama stend na majengo ya masoko na hadi unaobwa bumu yanawekana tu kwa watu wenye uwezo mdogo otherwise nchi hii Ina Mambo mengi makubwa ya kufanywa na rais wakati hayo ya masoko na stend yakifanywa na wakurugenzi
 
Hahahahaaaaaaa eti kuzingua zingua tu nimecheka sana.
 
Sikia mkuu hizo ndio ishu zinazogusa mwananchi wa kawaida wa chini kabisa!

Sasa mwambie Lisu aanze kuongelea hizo unazotaka basi! Mbona hatujaona akiongea hata moja sasa hivi?
Si bora huyo anaeongelea stand na vituo vya afya?
 
Sikia mkuu hizo ndio ishu zinazogusa mwananchi wa kawaida wa chini kabisa!

Sasa mwambie Lisu aanze kuongelea hizo unazotaka basi! Mbona hatujaona akiongea hata moja sasa hivi?
Si bora huyo anaeongelea stand na vituo vya afya?
Mkuu ndo maana nikakuambia wewe ni utopolo wa level hiyo hiyo,the reasons why LGAs was established ilikuwa ni ili zishughulike na hizo petty issues zinazowagusa wananchi ili central government ibaki Ina deal na major issues,Sasa Kama saizi ya Magu ni hizo petty issues huko kwenye urais anatafuta nini?
 
Lissu size yake ni Musiba! Ni Wanaharakati - chatterbox (talkoo talkoo and only talkoo!)
 
Kulifanyia kazi kosa namba 1 atajikuta anacheza kwenye uwanja wa mpinzani wake coz ni kama yote anayoweza kuahidi kuyafanyia kazi tayari mwenzie ameyafanyia kazi.
Kwa kosa la pili nadhani anazidi kuwapa hoja wanaoamini huenda aliumia kichwani pia. Maana ni kwa vipi hauchukui tahadhari yoyote dhidi ya corona wakati unadai ipo na inaua watanzania wengi ni suala gumu kuelewa.
Kiukweli Lissu anapendeza kuwa mwanaharakati na mkosoa serikali sio kiongozi tena wa juu wa serikali.
 
Tatizo la Lisu ni kuzungumza bila breki, akisimama jukwaani na mtu anaejua kucheza na akili ya mtu mf:Makonda atapoteza kila kitu
Yaani umetengeneza ID mpya harakaharaka kwa ajili ya kuvizia comments za kuji boost
 
Kwaiyo anahitaji speed governor?


All in all nakubaliana na mleta UZI,nionyeshe sehemu lissu akiongelea mambo ya uchumi
Mkuu kwa miaka 60 uchumi wetu na maendeleo yetu ysmedumazwa na CCM,Sasa badala ya kuhangaika kuong'oa kisababishi Cha matatizo yetu ya kiuchumi ninyi mnataka ashughulike na petty issues kama Magu?yaani aanze kuhangaika na stend,masoko na kupokea watalii siyo?
 
Great thinker at his best 👍
 
Kwaiyo tutamchagua kwa sera au kisa ccm wanashughulika na petty issues?
 
Kwaiyo tutamchagua kwa sera au kisa ccm wanashughulika na petty issues?
tutamchagua kwa kuongoza juhudi za kumuondoa huyu mtesi wetu ccm ndani ya nchi yetu
 
Hatuitaji mapambano, tunahitaji hoja!
 
Umeongea vzr sn ndugu. Haya uliyoyasema pia nimeyasema humu JF na nimeyaona kwa mtazamo kama wako. Kwa sasa Lissu aache maneno maneno na kuongea vitu vyenye utata utata. Sio lazima kila siku na kila waongeacho CCM basi akijibie. Ni heri hata kuongea haya muda rasmi wa kampeni kuliko sasa. Ila me napata shaka pia kama CHADEMA wanampango mkakati wa pamoja kama chama kujua mgombea wao anaongeana na nani na anaongea nini. Ni kama vile ameachwa tu kujisema anachojiskia. Kwa kweli asipo angalia, atajiharibia mwenyewe mapema zaidi. Anapaswa kuwa na busara sn kipindi hiki na kuchunga sn kauli.

Anyway, kama wataona ni sawa kuyachukua haya wachukue, ila wakitaka ligi ya maneno ni wao, sisi wengine tukiona wanafanya mambo kinyume tuna uhuru wetu na kura zetu, (binafsi sijafunga ndoa na chama chochote).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…