Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Sawa mkuu hata hivyo kutokana na sera mbovu za ccm sustainability ya hicho kipato kidogo nilichonacho is uncertainHahaha pambana sana ufiki USD 100000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu hata hivyo kutokana na sera mbovu za ccm sustainability ya hicho kipato kidogo nilichonacho is uncertainHahaha pambana sana ufiki USD 100000.
Imekula kwenu mlitamani ccm mwezenu agombee siyoWalikosea kumpa nafasi ya kugombea badala ya tiba kamili.
Wanufaika ni wachache kuliko walioumizwaTuonane 26 october hutaamin ni zaid ya kamar ya karata tatu nan kaon alikula kala......
Napendekeza uwepo mdahalo mubashara wawagombea wote wa uraisi. Haina haja ya sisi kuwasemea. Hivi Lisu aliuza nchi kwa nani, lini, bei gani na soko gani? Na wewe ukashuhudia kabisa nchi yako inauzwa wala hukuchukua hatua yyt?Lissu anazungumza kama mwanaharakati na kimapambano zaidi siyo kama mwanasiasa makini kuelekea kipindi cha kampeni. Hii ni sawa ns mechi ya mpira kosa moja linakugarimu He must be carefully with the game being more crafty vinginevyo atapata shida na kuwa hafifu kati ya viongozi wote wangombea hususani anaposema yeye anapambana na mfumo tu bila kueleza kwa watu wa kawaida anajipya lipi la mkate wa wanyonge na raslimali zao. Huyu ataonekana kituko hizi ni siasa za kampeni tunataka hoja tena za kisera na mashiko vinginevyo anasindikiza mechi. Kwanza mimi hapati kura yangu mpaka ajibu tuhuma ya kutumwa na mabeberu kuiuza nchi kwao.
Si mlimchagua Bwege!Kwaiyo anahitaji speed governor?
All in all nakubaliana na mleta UZI,nionyeshe sehemu lissu akiongelea mambo ya uchumi
Hivi kwanini Lissu alipohojiwa na ile TV ya Kenya alisema Tanzania corona bado ipo nyingi, kwa data gani? Na pia alisema watu wazingatie social distancing na wavae barakoa, mbona yeye hayo hayafanyi anajichanganya na makundi ya watu kama kawaida?Napendekeza uwepo mdahalo mubashara wawagombea wote wa uraisi. Haina haja ya sisi kuwasemea. Hivi Lisu aliuza nchi kwa nani, lini, bei gani na soko gani? Na wewe ukashuhudia kabisa nchi yako inauzwa wala hukuchukua hatua yyt?
Yupo wapi August Lyatonga Mrema, Yupo wapi Masumbuko , yupo wapi Edward Lowasa, yupo wapi Dr. Slaa? Hivi ni leo Tundu Lissu anawazidi kweli umaarufu wa kisiasa hii miamba mitatu iliopokuwa kwenye ubora wao? Nasikitika tu kusema kwamba ni ngumu sana upinzani huu legelege kushika dola nchi japo kwa miaka 20 ijayo.Yaan mti mzima unakaa kabisa na unahis lisu atakua rahisi wa tanzania ndio rahis naona mmestuka yaan hata lisu mwenyewe atawashangaa yeye yupo kwa ajili ya kuzingua zingua
Lissu ni Lissu jana, leo, kesho na milele na milele.
ni huu u Lissu wake ndiyo haswa uliomfikisha kwenye hatua hii ya hata kukubalika kuwa presidential material and candidate. don't change him into what he's NOT.
watu watamwelewa Lissu very soon. anahitaji no more than 30 days kuwasomesha Watanzania wakamwelewa.
in fact, Lissu is miles better off compared to JPM kwenye maeneo mengi tu na Lissu ndiye ana jeuri inayohitajika kupambana katika mfumo ambao CCM wanatumia zaidi nguvu ya dola kuliko hoja.
let's enjoy the Lissu we know.
let's enjoy his fierce battling against a tyrant.
let's enjoy the ride!!
Sikia mkuu hizo ndio ishu zinazogusa mwananchi wa kawaida wa chini kabisa!
Sasa mwambie Lisu aanze kuongelea hizo unazotaka basi! Mbona hatujaona akiongea hata moja sasa hivi?
Si bora huyo anaeongelea stand na vituo vya afya?