Uchaguzi 2020 Makosa ya Lissu yanaweza kutumiwa na CCM kumzidi kete kisiasa

Napendekeza uwepo mdahalo mubashara wawagombea wote wa uraisi. Haina haja ya sisi kuwasemea. Hivi Lisu aliuza nchi kwa nani, lini, bei gani na soko gani? Na wewe ukashuhudia kabisa nchi yako inauzwa wala hukuchukua hatua yyt?
 
Kwaiyo anahitaji speed governor?


All in all nakubaliana na mleta UZI,nionyeshe sehemu lissu akiongelea mambo ya uchumi
Si mlimchagua Bwege!
Kamwambieni huyo bwege awaletee Maendeleo.
 
Napendekeza uwepo mdahalo mubashara wawagombea wote wa uraisi. Haina haja ya sisi kuwasemea. Hivi Lisu aliuza nchi kwa nani, lini, bei gani na soko gani? Na wewe ukashuhudia kabisa nchi yako inauzwa wala hukuchukua hatua yyt?
Hivi kwanini Lissu alipohojiwa na ile TV ya Kenya alisema Tanzania corona bado ipo nyingi, kwa data gani? Na pia alisema watu wazingatie social distancing na wavae barakoa, mbona yeye hayo hayafanyi anajichanganya na makundi ya watu kama kawaida?
 
Yaan mti mzima unakaa kabisa na unahis lisu atakua rahisi wa tanzania ndio rahis naona mmestuka yaan hata lisu mwenyewe atawashangaa yeye yupo kwa ajili ya kuzingua zingua
Yupo wapi August Lyatonga Mrema, Yupo wapi Masumbuko , yupo wapi Edward Lowasa, yupo wapi Dr. Slaa? Hivi ni leo Tundu Lissu anawazidi kweli umaarufu wa kisiasa hii miamba mitatu iliopokuwa kwenye ubora wao? Nasikitika tu kusema kwamba ni ngumu sana upinzani huu legelege kushika dola nchi japo kwa miaka 20 ijayo.
 
Mambo mengi uliyosema yako sawa sawa kabisa......watu wa karibu naye wamfikishie incase hajaiona yeye mwenyewe.
 

Umesema kweli kabisa watu wengi huwa wanafeli kwa kudhania wananchi wanataka awe tofauti na uhalisia wake kumbe huo uhalisia wake ndiyo potential waliyoiona na kumpitisha kugombea asianze kufake uwasilishaji wa sera zake afanye kama anavofanya siku zote watu wamemtambua hivo na watamchagua kwa huo uhalisia wake akianza kubadilika atashindwa.
 
Sikia mkuu hizo ndio ishu zinazogusa mwananchi wa kawaida wa chini kabisa!

Sasa mwambie Lisu aanze kuongelea hizo unazotaka basi! Mbona hatujaona akiongea hata moja sasa hivi?
Si bora huyo anaeongelea stand na vituo vya afya?

Kwani muda wa kufanya kampeni umeshafika au mnataka aanze mapema ili aenguliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…