Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Wakati hicho kinachoitwa kashfa kikifanyika Membe alikuwa tayari ni mstaafu .na hakuathirika chochote kiajira wala kibiashara..

Hawa hawa wanaoshabikia sasa huko mbeleni ndio hawa hawa watakaokuja kulialia humu mwanasiasa wao akiwa cornered na mahakama.
Wewe ni kundi la Jiwe Sasa kama anaona hiyo adhabu haiendani na matusi yake Kwanini msikate rufaa badala yake mnalia lia mitandaoni?
 
Wakati hicho kinachoitwa kashfa kikifanyika Membe alikuwa tayari ni mstaafu .na hakuathirika chochote kiajira wala kibiashara..

Hawa hawa wanaoshabikia sasa huko mbeleni ndio hawa hawa watakaokuja kulialia humu mwanasiasa wao akiwa cornered na mahakama.
Kwa nini huendi kumsaidia Musiba , unalia na Membe JF?
 
Membe yupo saw2a kabisa nami namuunga mkono kwa 100%
Huyu musiba alitukana, alitishia watu kuua, alikashifu watu, alijaa kiburi na dharau kuu!
Alijiona mkuu wa nchi na yuko juu ya sheria zote za nchi na hakujali kuumiza wengine!
Hawa wanaomtetea sasa walikuwa wapi wakati anatukana na wasikemee?
Mbona wanamtetea sasa na kutaka suluhu?

Ukisikia unafiki wa watu wa dini ndio huu! Bora wangekaa kimya kuficha madhaifu yao!
 
Ndugu wakati mwingine tukubali kwamba yapo mambo hatuyajui na hivyo kuwa watazamaji au tuulize ili tupate kuelimishwa.

Ningekushauri ujikite katika kujua nini maana ya Fidia, na kwa kesi hii kinachofidiwa haswa ni nini. Je mshahara wa Membe? Thamani ya Biashara ya kimataifa ya Membe iliyopotezwa na Musiba? Hadhi na utu wa Membe na familia yake uliootezwa na Musiba? Hela alizotumia Membe kwenye kesi hii? Uanachama wa ccm alioupoteza Musiba? Au ni fidia za kila kitu alichopoteza Membe na familia yake kutokana ujinga wa Musiba?

Suala la fidia ni profession ya watu na wamesomea wakapata degree ya litigation. Usidhani walilala wakaamka wakasema 9b. Kama ulifuatilia vizuri ilikuwa 6.4b sasa 9.2b kwasababu ya riba na rufaa alizokata bila kutokea mahakamani.

Kama kuna kiumbe kaidharau Mahakama basi Musiba namba moja. Hakutokea mahakamani hata siku moja na mawakili wake walijitoa kila walipohudhuria mahakama. Musiba wala hakuiomba mahakama ifanye review ya kiasi anachodaiwa kwasababu kwanza hakuona umuhimu wa mahakama nchini.

Hitimisho ni kwamba suala la fidia ni fani ya watu waliosomea litigation. Unaweza kuwabishia tu kama nawe utafanya calculations zako kwa kufuata kanuni za litigation. Lakini kusema mshahara wa Membe haukufikia 20% ya kiasi anachodai nikutojua litigation na misingi yake.

Kama nilikuwa nalipwa 1m kwa mwezi kazi ya ualimu. Wewe ukaja kutunga kesi kwamba najaza mimba wanafunzi ninao wafundisha. Mwajiri akanifukuza kazi, nikapeleka kesi mahakamani nikiomba utoe ushahidi na ukashindwa. Mahakama itapiga hesabu ya Fidia kwa hela ambazo ningepata kwa kufundisha kuanzia nilipofukuzwa hadi uliposhindwa kutoa ushahidi. Sio hivyo tu itapiga hesabu ya jinsi nilivyoathirika kiuchumi, kisaikolojia, kijamii Mimi, wanangu, ndugu, wafanyakazi wangu nyumbani. Athari zote zitathaminishwa kwa fedha na kukutwisha zigo la kunilipa. Hela nitakazopata zitazidi mshahara mara millioni.
Kama ana akili hata za kuazima labda atakuelewa
 
Kama thamani yake ni sh bilioni tisa kwa nini asiwe nazo na anazitafuta kwa mtu mwingine?
Kwa taarifa yako binadamu wote wana thamani sawa .
Utakuwa una tatizo kubwa kuliko tunavyodhani, nipe formula ya kisheria unayotumia kudetermine thamani ya mtu. Hulka za chuki unazoweza kuzipata kwa wachawi tu
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao, naamini, kila kitu Msiba atauza na pesa haitatosha, mwisho wa siku ni nini? Kwa nini asifungwe maisha?

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Wala huko sahihi. Msiba hajakosea kitu. Alijilipua kwa niaba ya wapenzi wa magufuli. Hawa kina membe yameandikwa mengi ndani na nje ya nchi na vibaraka wao na wao wenyewe kumtukana na kumsema vibaya magufuli. Walivumisha eti ni mwizi anapendelea wasukuma ni mshamba ana degree feki na mengi. Membe mwenyewe kaonesha ujeuri na dharau kubwa kwa jpm alivyokua mwenyekiti wa ccm. Haya ni mambo tulijua sote ila musiba alikua anatupa mengi ya nyuma ya pazia wahuni hawa walifanya.
Hapo kwenye uzi moja tu ni sahihi. Membe ni mlafi na mtu mwenye tamaa ya mali na madaraka. Magufuli hakuwahi kudai kitu mahakamani kwa uongo na kashfa za hawa wahuni. Alijua ukiwa mwanasiasa utegemee kila kitu. Membe anataka kumfilisi musiba kwa kukataa kuomba msamaha kwa kusema kile anaamini ni kweli.
 
Mtoa mada sababu huna akili na hujapenda kushughulisha akili yako na hujapenda kujipanga ngoja tukupange sasa.. Iko hivi

Fine ya 9B kwa Musiba dhidi ya Bwana Membe ni kubwa kweli tena kubwa sana sana na hii imetolewa kwa kuweka sawa Musiba ili akutane na kifungo jela

Kwa taarifa yako ni kwamba Bwana Musiba atashindwa kulipa deni la 9B hata kama watauza mali zak zote,wakiuza mali zake zote na deni likabaki, itapigwa hesabu ni kiasi gani kimebaki cha deni ili Bwana Membe amulipie Bwana Musiba gharama za Tshs 5,000/= kwa siku aende gherezani.

Na ndiyo mchongo uliopo hapa, hela za mali zake zitakazouzwa, ndiyo zitatumika hizo hizo kumpeleka gerezani.. Kwenye hili naunga mkono na miguu juu, ili iwe fundisho kwa watu wajinga aina ya Musiba kuweka akili kabatini nakutumia makalio kuwaza

Musiba kawatukana sana watu na Serikali ilikua kimya tu, wale kina Makamba,Kinana,January,Nape,Ngeleja,Membe walidukuliwa maongezi yao, kitu ambacho ni kosa sana kudukuwa faragha za watu..

Mbaya zaidi alimtukana hadi brother men, mtoto wa mjini.. Mr tabasamu! Musiba ache akawe chakula cha watu huko Segelea
Siku hazijaisha tu
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao, naamini, kila kitu Msiba atauza na pesa haitatosha, mwisho wa siku ni nini? Kwa nini asifungwe maisha?

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Membe kaishiwa na hana jipya ndiyo maana anadai hela nyingi kiasi kile ili alipe madeni yake.
 
Membe Angekuwa na ubinadamu huo angejengea mabilion ya Gadafi aliyofisadi.
Fisadi ni fisadi tu
Hata hukumu ni yakifisadi
Hiyo bilion 9 ukiongeza 1 ndio pesa waliyouziwa CCM chama cha CHADEMA ili lowasa agombee 2015.
Sasa Leo mtu mmoja tena mwanahabari eti anahukumiwa kulipa bilion tisa naamini hata huyo mtoa hukumu hajawahi ota kuzishika.
Rushwa, rushwa, rushwa
kashtaki rushwa hiyo, wasubiri nini; japo mdomo mali yako lakini ndio yaliomponza Musiba wenu.
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao, naamini, kila kitu Msiba atauza na pesa haitatosha, mwisho wa siku ni nini? Kwa nini asifungwe maisha?

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
acha kutetea wahalifu huyo jamaa ameumiza wengi sana kupitia hako kajarida kake.membe hana tamaa yoyote bali anataka kukomesha kabisa hiyo tabia ya wanahabari kutumika vibaya.sasa kuna kitabu cha I m the state hao walioandika hicho kitabu pia wanatakiwa kufikishwa mahakamani ili sheria pia ichukue mkondo wake.hatuwezi kuvumilia vyombo vya habari kutumia nafasi zao ili kuumiza watu wasio na hatia ndo maana nchi nyingine wanahabari huuawa sana kisa ni kama upuuzi huu unaendelea hivi sasa hapa kwetu kwa wanahabari kuchafua watu.
 
Hapo kwenye kitabu tuko pamoja mkuu
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao, naamini, kila kitu Msiba atauza na pesa haitatosha, mwisho wa siku ni nini? Kwa nini asifungwe maisha?

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Ni hukumu...
Sio ngonjera.
Alipe tu..
 
Si mngemsemelea kwa jiwe ili amkamate?
Kwa taarifa yako Jiwe kawasemehe wengi sana akiwemo huyo Membe wako mwenye pesa chafu zilishikwa Dodoma kipinde kile Cha uchaguzi kwenye briefcase na Muhindi, eti mkazuga ni pesa za kununulia mazo yasiokua na jina!!
 
Utakuwa una tatizo kubwa kuliko tunavyodhani, nipe formula ya kisheria unayotumia kudetermine thamani ya mtu. Hulka za chuki unazoweza kuzipata kwa wachawi tu
Swali mbona liko wazi,acha kujificha kwenye kichaka cha Sheria! Kama hizo b9 ni rahisi kua nazo, mbona Membe toka azaliwe hajawa miliki hata b3!!??
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao, naamini, kila kitu Msiba atauza na pesa haitatosha, mwisho wa siku ni nini? Kwa nini asifungwe maisha?

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Wajinga mnazidi kuongezeka Kama FIDIA hailingani na MAKOSA ya Musiba unatuambia SISI tufanye nini? MUSIBA ALIJIFANYA KIDUME
Wacha Wamfilisi KWANI ALIYEKUWA ANAMTUMA YUPO WAPI
AMLIPIE?
Msikilize MUSIBA wenu
 
Back
Top Bottom