Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Wewe ni kundi la Jiwe Sasa kama anaona hiyo adhabu haiendani na matusi yake Kwanini msikate rufaa badala yake mnalia lia mitandaoni?
 
Kwa nini huendi kumsaidia Musiba , unalia na Membe JF?
 
Membe yupo saw2a kabisa nami namuunga mkono kwa 100%
Huyu musiba alitukana, alitishia watu kuua, alikashifu watu, alijaa kiburi na dharau kuu!
Alijiona mkuu wa nchi na yuko juu ya sheria zote za nchi na hakujali kuumiza wengine!
Hawa wanaomtetea sasa walikuwa wapi wakati anatukana na wasikemee?
Mbona wanamtetea sasa na kutaka suluhu?

Ukisikia unafiki wa watu wa dini ndio huu! Bora wangekaa kimya kuficha madhaifu yao!
 
Kama ana akili hata za kuazima labda atakuelewa
 
Kama thamani yake ni sh bilioni tisa kwa nini asiwe nazo na anazitafuta kwa mtu mwingine?
Kwa taarifa yako binadamu wote wana thamani sawa .
Utakuwa una tatizo kubwa kuliko tunavyodhani, nipe formula ya kisheria unayotumia kudetermine thamani ya mtu. Hulka za chuki unazoweza kuzipata kwa wachawi tu
 
Wala huko sahihi. Msiba hajakosea kitu. Alijilipua kwa niaba ya wapenzi wa magufuli. Hawa kina membe yameandikwa mengi ndani na nje ya nchi na vibaraka wao na wao wenyewe kumtukana na kumsema vibaya magufuli. Walivumisha eti ni mwizi anapendelea wasukuma ni mshamba ana degree feki na mengi. Membe mwenyewe kaonesha ujeuri na dharau kubwa kwa jpm alivyokua mwenyekiti wa ccm. Haya ni mambo tulijua sote ila musiba alikua anatupa mengi ya nyuma ya pazia wahuni hawa walifanya.
Hapo kwenye uzi moja tu ni sahihi. Membe ni mlafi na mtu mwenye tamaa ya mali na madaraka. Magufuli hakuwahi kudai kitu mahakamani kwa uongo na kashfa za hawa wahuni. Alijua ukiwa mwanasiasa utegemee kila kitu. Membe anataka kumfilisi musiba kwa kukataa kuomba msamaha kwa kusema kile anaamini ni kweli.
 
Siku hazijaisha tu
 
Membe kaishiwa na hana jipya ndiyo maana anadai hela nyingi kiasi kile ili alipe madeni yake.
 
kashtaki rushwa hiyo, wasubiri nini; japo mdomo mali yako lakini ndio yaliomponza Musiba wenu.
 
acha kutetea wahalifu huyo jamaa ameumiza wengi sana kupitia hako kajarida kake.membe hana tamaa yoyote bali anataka kukomesha kabisa hiyo tabia ya wanahabari kutumika vibaya.sasa kuna kitabu cha I m the state hao walioandika hicho kitabu pia wanatakiwa kufikishwa mahakamani ili sheria pia ichukue mkondo wake.hatuwezi kuvumilia vyombo vya habari kutumia nafasi zao ili kuumiza watu wasio na hatia ndo maana nchi nyingine wanahabari huuawa sana kisa ni kama upuuzi huu unaendelea hivi sasa hapa kwetu kwa wanahabari kuchafua watu.
 
Hapo kwenye kitabu tuko pamoja mkuu
 
Ni hukumu...
Sio ngonjera.
Alipe tu..
 
Si mngemsemelea kwa jiwe ili amkamate?
Kwa taarifa yako Jiwe kawasemehe wengi sana akiwemo huyo Membe wako mwenye pesa chafu zilishikwa Dodoma kipinde kile Cha uchaguzi kwenye briefcase na Muhindi, eti mkazuga ni pesa za kununulia mazo yasiokua na jina!!
 
Utakuwa una tatizo kubwa kuliko tunavyodhani, nipe formula ya kisheria unayotumia kudetermine thamani ya mtu. Hulka za chuki unazoweza kuzipata kwa wachawi tu
Swali mbona liko wazi,acha kujificha kwenye kichaka cha Sheria! Kama hizo b9 ni rahisi kua nazo, mbona Membe toka azaliwe hajawa miliki hata b3!!??
 
Wajinga mnazidi kuongezeka Kama FIDIA hailingani na MAKOSA ya Musiba unatuambia SISI tufanye nini? MUSIBA ALIJIFANYA KIDUME
Wacha Wamfilisi KWANI ALIYEKUWA ANAMTUMA YUPO WAPI
AMLIPIE?
Msikilize MUSIBA wenu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…