Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Hata kama, wewe unadhani bilion 9 ndio faraja kwao?
Musiba atoe billion 9 Kwan nini tatizo si alipe we unafikiri defamation ni kesi ndogo ulipwe elfu 3 uende au sio? Tena hio billion 9 kaonewa huruma sana tena sana angepigwa hata billion 100, defamation hainaga mchezo mchezo
 
Wewe ni mtoto mkubwa wa musiba naona
 
Na wao ufisadi waliolifanyia taifa hili ni faraja kwa Watanzania sio!
 
Kwa mtu kama Musiba,ikitolewa hukumu ya kulipa Milioni 100 bado ni kubwa sana kwake.
Bilioni 9 hapo Membe alitumia Rushwa na influence yake kwa Majaji Ili kutoa hukumu ya kumkandamiza Musiba.
 
Inawezekana ndo lile goli la dakika ya 89 alilokuwa anatwambia, maembe bhanaa.....

Halafu kwenye nchi ambayo kipato wastani cha mwananchi kwa mwaka hakifiki laki 5 huku asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wakiishi chini ya mstari wa umaskini mahakama ina justify vipi hiyo fidia ya bilioni 9? au ndo sheria alizotuachia beberu hizi ambazo hazizingatii hali halisi ya maisha ya watu.​
 
1-Kwani maamuzi yalitoka kwa membe au mahakama
2-membe ni mtu ambaye anaheshimika kitaifa na kimataifa hata hiyo bil 9 ni kubwa kwako wewe masikini wa akili na mali huyu mbweha alipaswa kulipa zaidi ya hiyo bil 9
3-jichangeni machawa wa mwendakuzimu mumlipe membe mpunga wake
4-shwaini nyie mmepanda bangi na mvune bange yenu pia.
 
Ni fundisho kwa machawa wote ukiwemo wewe.
 
Mfano ww ndio mtoto wa membe na umesikia baba anatakiwa alipwe 9B utamwambia baba msamehe.

Maskini wana huruma sana na wanahurumiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Membe jinsi navyo mdharau hata angelipwa trillion 900 hainibadilishi chochote namuona ni mjinga fulani hivi aliyechangamka.
Huyu mzee wa goli la dakika ya 89 sioni ni namna gani atajijenga kisiasa kwa kumdai msiba bilioni 9, mimi naona itamfanya aonekane irrational......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…