Watu wa kaskazini wanapenda sana kusoma, ndiyo maana nyerere aliwaona kama threat kwenye uongozi wake, labda aliona wangeleta mabadiliko makubwa nchini na legacy yake ingepotea
Maktaba kufanya nini wakati kuna internet kila mtu ana simu au laptop siku hizi, hiyo maktaba na nyingine zote Tz ziachwe zibaki hivyo iwe makumbusho ya kihistoria na vitabu vyake vya mwaka "60 viwe kivutio kipya cha watalii.