Maktaba kuu ya Arusha

Maktaba kuu ya Arusha

Watu wa kaskazini wanapenda sana kusoma, ndiyo maana nyerere aliwaona kama threat kwenye uongozi wake, labda aliona wangeleta mabadiliko makubwa nchini na legacy yake ingepotea
We nae na huo ukaskazini wako..hivi kuna mkoa ambao hauna maktaba kweli?
 
Maktaba kufanya nini wakati kuna internet kila mtu ana simu au laptop siku hizi, hiyo maktaba na nyingine zote Tz ziachwe zibaki hivyo iwe makumbusho ya kihistoria na vitabu vyake vya mwaka "60 viwe kivutio kipya cha watalii.
 
Back
Top Bottom