tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
We nae na huo ukaskazini wako..hivi kuna mkoa ambao hauna maktaba kweli?Watu wa kaskazini wanapenda sana kusoma, ndiyo maana nyerere aliwaona kama threat kwenye uongozi wake, labda aliona wangeleta mabadiliko makubwa nchini na legacy yake ingepotea