DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Pesa walizokusanya CCM zingetosha kabisa kurenovate maktaba zote TanzaniaJuzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi.
Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika kwenda kuwatafutia uanchama Watoto wao kwenye Maktaba ya Mkoa ili wapate nafasi ya kujisomea, lakini walichokutana nacho huko ni balaa.
Maktaba ni mbovu, mazingira nim abaya na siyo rafiki, ukiangalia ‘silingibodi’ zinaanguka, kuta zimebomoka sehemu kadhaa, kibaya zaidi sehemu ya kujisaidia Watoto choo ni kibovu.
Najiuliza hivi wahusika wa mkoa wanachukuliaje hali hiyo au wao wanaona kawaida tu jengo kuwa limechakaa vile, kwanza hata mtu huwezi kupata mudi ya kusoma.
V8 ya Mkurugenzi imepaki upande gani?Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi.
Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika kwenda kuwatafutia uanchama Watoto wao kwenye Maktaba ya Mkoa ili wapate nafasi ya kujisomea, lakini walichokutana nacho huko ni balaa.
Maktaba ni mbovu, mazingira nim abaya na siyo rafiki, ukiangalia ‘silingibodi’ zinaanguka, kuta zimebomoka sehemu kadhaa, kibaya zaidi sehemu ya kujisaidia Watoto choo ni kibovu.
Najiuliza hivi wahusika wa mkoa wanachukuliaje hali hiyo au wao wanaona kawaida tu jengo kuwa limechakaa vile, kwanza hata mtu huwezi kupata mudi ya kusoma.
Itakua wizara ya elimuHivi maktaba ziko chini ya wizara gani?
Elimu siyo kipaumbele kwa Tz, siasa na uchawa ndiyo vitu tunajuaMaktaba nyingi za mkoa zimesahaulika sana kwenye maboresho
Kabisa.Elimu siyo kipaumbele kwa Tz, siasa na uchawa ndiyo vitu tunajua
Kwanza hawatajua