Maktaba ya ujanani: Mbinu niliyofanikiwa kunasa ma ex wawili bila kukataliwa

Maktaba ya ujanani: Mbinu niliyofanikiwa kunasa ma ex wawili bila kukataliwa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hii ni maktaba nayowaletea kwenu nikijikumbushia mbinu kadhaa nilizowahi kuzifanyia practical.

Njia hii ilikuwa ni kwamba ni lazima kuwe na mabinti wawili marafiki, nachofanya nawalinganisha, namchangamkia saa yule wa kawaida, yule mrembo nakuwa sina time nae kivile, baada ya hapo ntaomba namba ya simu kabisa kwa yule wa kawaida.

nlikuwa nafanya hivi maksudi nikijua kabisa yule mrembo nikimfata anaweza kujisikia vibaya anapoona yeye anafatwa sana kuliko mwenzake, kwa hali hii anaweza kukukatalia kabisa ili ampe faraja mwenzake, na ndio maana nilikuwa namfata yule wa kawaida.

Mbinu hii nilishaitumia kuwapata ma ex zangu wawili.
 
Back
Top Bottom