Maktaba yapokea Vitabu Kutoka Songea, Ujerumani na Marekani

Maktaba yapokea Vitabu Kutoka Songea, Ujerumani na Marekani

Mi naomba kuuliza, hao wazee wetu Songea na Mkwawa walikuwa wanafanya harakati za kidini?
Mkwawa wakati anapigana na Hermann von Wissmann tayari alikuwa Muislam na msala wake aliokuwa akisalia umehifadhiwa Mkwawa Museum.

Ngome ya Mkwawa ilishambuliwa na makombora kutokea Tosamaganga na leo hapo pamejengwa kanisa kubwa.

Abdulrauf Songea Mbano amezikwa kaburi la peke yake.

Majemadari wake 66 wamezikwa kaburi la halaiki na kabla ya kunyongwa aliletwa mchungaji kutoka Peramiho Mission kuwabatiza na kuwapa majina ya Kikristo kufuta majina yao ya Kiislam.

Huyu mchungaji jina lake ni Yohannes Hafliger.

Huyu ndiye aliyempa jina la Yacintha Khadija Mkomanile.

Walifanya haya kwa hofu kuwa isionekane kuwa Wajerumani walikuwa wanapambana na Waislam katika Vita Vya Maji Maji.
 
Unaanza ubaguzi wa umri?
Waislam hatufundishi n Uislm haufundishi "bias" ya aina yoyote.
a
"inferiarity complex "inayosababishwa na uoga wa Uislam (Islamophobia) ndiyo inawafanya muwe na fikra za kikondoo.

Kwani kuitwa kondoo na wwazungu ndiyo lazima muwe kondoo kweli?
Ungekaa kimya ungepata hasara kiasi gani?unashindwa nini kutokumjibu kila mmoja humu.

Niliyemuuliza ame-respond vizuri na nimeshamuelewa unadhani mimi na wewe nani mwenye ”inferiority complex” kwa ulichoandika hapa?
 
Wewe.

Wewe unaona sifa kuitwa kondoo?
 
Back
Top Bottom