Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

Wakiuza makava ya simu za Tekno na Infinix nyie mnatumia iPhone na Samsung, sijui Redmi.
Halafu wapo wengi biashara ni ngumu

Wakiuza chaja za simu, USB n.k
bado hamnunui bado mnadai ni vitu fake.

Wakiwaomba hela , mnawatukana na kuwasema vibaya kuwa wachunge tamaa mbaya, mnaenda mbali zaidi eti mtawapakata.

Wakibet wanaliwa tu, maana mchezo ule umekaa kipuuzi sana.sasa optionya Kona na offside mara sijui golikipa gani ataanza kudaka mpira, mtu anaamua kuacha nayo.

Wakiomba ajira mnasema wajiajiri,na wanaotaka ualimu mnaenda mbali zaidi kuwa wafanye mitihani kwanza, Sasa kwenye watu miamoja si mtapata kumi tu.


Wakiiba mnawapiga , mnachoma moto mnaua kabisa, eti mnawakomesha wakati Kuna wezi mpaka Sasa wametrend na hakuna mtakachowafanya.

Sasa kijana kabuni kazi ili ajiongezee kipato, bado mnamshangaa?

Kweli kuna watu na viatu.
 
Back
Top Bottom