Makuli na washusha mizigo ya nafaka waandamana kupinga maandamano ya Julai 7

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.

Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.

Aidha, wamewaasa akina mama na wazazi kuwazuia watoto wao wasitoke barabarani tarehe 7 Julai wakidai kuwa vijana wanatumiwa na watu ambao watoto wao wako nje ya nchi, na wakati mwingine vijana hao hupewa pombe au fedha kidogo ili wafanye vurugu.

Sasa makuli ni watu?
 
Kama wao wameandamana hawaoni kuwa wenzao pia nawao wanahaki ya kuandamana kama walivyo andamana wao

Hii Nchi Ina mijitu mingi ambayo Haina Akili

Kwamba kuandamana kwao ni sawa ila wengine wakiandamana sio sawa !!!

My foot 😁😁
 
Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.

Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.
Aidha, wamewaasa akina mama na wazazi kuwazuia watoto wao wasitoke barabarani tarehe 7 Julai wakidai kuwa vijana wanatumiwa na watu ambao watoto wao wako nje ya nchi, na wakati mwingine vijana hao hupewa pombe au fedha kidogo ili wafanye vurugu.wa

Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.

Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.
Aidha, wamewaasa akina mama na wazazi kuwazuia watoto wao wasitoke barabarani tarehe 7 Julai wakidai kuwa vijana wanatumiwa na watu ambao watoto wao wako nje ya nchi, na wakati mwingine vijana hao hupewa pombe au fedha kidogo ili wafanye vurugu.
Wajifunze kuweka akiba maana kuna kuumwa na kuna siku nchi itavurugika au.....lolote nje uwezo wao akiba muhimu pia nhuvu suala la mpito.....sio kila miaka utakuwa nguvu kubeba mizigo tùu
 
Tutaelewana tu. Safari hii wakianzisha vurugu zao hao kina heche, sisi wazalendo wa nchi hii tutazizuia kwanza Kisha kwa nguvu kuu tutasema nao woooooooote Hadi wahame nchi wakaishi huko huko ubelgiji walikoolewa.
 
Ccm ni wajinga kama walivyo wanaowatumia kuzuia maandamano... Et sisiem inawaweke mbele wajinga kama.. bodaboda, makuli, polisi +jeshi.. ukiangalia kwa kina hapo hakuna kundi linaloweza kufanya reasoning ya walichoambiwa kwasababu wote ni Gumbalu, hayana akili yanatumia nguvu bila akili!.
 
Back
Top Bottom