Makuli na washusha mizigo ya nafaka waandamana kupinga maandamano ya Julai 7

Makuli na washusha mizigo ya nafaka waandamana kupinga maandamano ya Julai 7

Tutaelewana tu. Safari hii wakianzisha vurugu zao hao kina heche, sisi wazalendo wa nchi hii tutazizuia kwanza Kisha kwa nguvu kuu tutasema nao woooooooote Hadi wahame nchi wakaishi huko huko ubelgiji walikoolewa.

Wakimwaga Ugali 🫎🫎❗️

Sisi tunamwaga mboga jino kwa jino✅️

Sio wao tu na familia zao wazipeleke zikanyie uko uko Ubelgiji ngoja wajizime Data ☠️☠️
 
Wakimwaga Ugali 🫎🫎❗️

Sisi tunamwaga mboga jino kwa jino✅️

Sio wao tu na familia zao wazipeleke zikanyie uko uko Ubelgiji ngoja wajizime Data ☠️☠️
Kabisa, uzuri wa safari hii ni kuwa hata wananchi wenyewe wataisaidia serikali kupambana na hawa washenzi
 
Kobazi wasiojielewa , makuli , wanajeshi, kina Lucas Msandambwa, 🐒 etc ndio mitaji ya CCM, ukiangalia vizuri wote kichwani hamna kitu
Napenda sana manyumbu yanavyoweka wazi chuki yao kuu iliyojificha ya udini.......
 
Mko mbele kupinga maandamano na mmeahidi kukata watu vichwa, hamjielewi and nobody cares what you think or believe 👎
Nitakujibu ukipata akili, ila kwa Sasa jua tu kuwa hakuna fala wa kuandamana tarehe 7, hata wewe hautoandamana.
 
Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.

Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.

Aidha, wamewaasa akina mama na wazazi kuwazuia watoto wao wasitoke barabarani tarehe 7 Julai wakidai kuwa vijana wanatumiwa na watu ambao watoto wao wako nje ya nchi, na wakati mwingine vijana hao hupewa pombe au fedha kidogo ili wafanye vurugu.
Watoke 7/7 waandamane pia!
 
Tutaelewana tu. Safari hii wakianzisha vurugu zao hao kina heche, sisi wazalendo wa nchi hii tutazizuia kwanza Kisha kwa nguvu kuu tutasema nao woooooooote Hadi wahame nchi wakaishi huko huko ubelgiji walikoolewa.
Uwe kwenye system au nje ya system au payroll yao kuna siku utaguswa tu utafikiwa tu na upumbavu wao ccm hapo ndio utalia na kusaga meno na kuwakumbuka wote waliopigania haki.
 
Uwe kwenye system au nje ya system au payroll yao kuna siku utaguswa tu utafikiwa tu na upumbavu wao ccm hapo ndio utalia na kusaga meno na kuwakumbuka wote waliopigania haki.
Kamwe wazalendo hatutokuja kujuta sababu kazi yetu ya kuilinda hii nchi na vizazi vyake ni ya haki hivyo Ina baraka za Mungu. Nyie mashetani mnaosukumwa na chuki Huku mkimlenga mtu flani katika harakati zenu ndiyo mtakaojuta
 
Polepole alikuwa mzalendo kuliko wewe ila Leo kashaoza! Halafu pili ukija uongozi wenye akili utataka kujitenga na maovu yenu mtakula vitanzi wote mbwa nyie wakati huo mama yenu mwizi wa kura atakuwa Qatar nyie ndio mtakuwa mfano.
 
Ndo alivyokwambieni polepole?!!!! Poleni sana nyumbu. Nipo liwale mkuu nalima mbaazi, karibu sana. Sipo kabisaaaa kwenye utawala wa nchi na Wala sioti na Wala sina kipaji Cha hayo mambo. Tatizo langu tu ni kuwa sipendi UNAFIKI ndo maana namuunga mkono Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, sababu anaonewa na nyie manyumbu wabaguzi wakubwa. Alipokuwa yule mwamba mlikaa kimyaaaa, Sasa hv mnajifanya kumsumbua Kila Leo mama wa watu kwa sababu zenu za kishenzi.
 
Mama yako anaunda vikundi vya kigaidi nje ya jw na polisi na amefanya mpaka jw iliyokuwa inapendwa mno na watanzania Sasa nao wanachukiwa kisa huyo mama mwizi wa kura.
 
Back
Top Bottom