Makuli na washusha mizigo ya nafaka waandamana kupinga maandamano ya Julai 7

watu wengi mtaani hawataki hii kitu kwa kweli

Madhara ni makubwa, wapo waliokata tamaa wapo tayari siku hiyo machafuko yatokee wafanye uhalifu, wengine wanaandaliwa kuzuia waandamanaji tatizo ni ngumu kutambua nani muandamanaji wa amani na nani ni muhalifu
 
Tutaelewana tu. Safari hii wakianzisha vurugu zao hao kina heche, sisi wazalendo wa nchi hii tutazizuia kwanza Kisha kwa nguvu kuu tutasema nao woooooooote Hadi wahame nchi wakaishi huko huko ubelgiji walikoolewa.
Wewe na nani kumawewe wewe na nani halafu nyie makuma wengine kujipa mamlaka msiyokua nayo mmekaa kisengesenge tu hapo unaongea usenge basi unajiona bonge la mtu kumbe ni kumatu
 
Utakiwepo kamanda kwenye maandamano ya kuiharibu nchi tarehe 7 kama mnavyoelekezwa na maria, lissu na kina kitima?!!!! Karibu sana.

Mi ni mzalendo mmoja mkulima nipo zangu liwale Huku, najitolea kuja huko kuilinda nchi yangu na watu wake tarehe 7.
 
Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.

Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.

Aidha, wamewaasa akina mama na wazazi kuwazuia watoto wao wasitoke barabarani tarehe 7 Julai wakidai kuwa vijana wanatumiwa na watu ambao watoto wao wako nje ya nchi, na wakati mwingine vijana hao hupewa pombe au fedha kidogo ili wafanye vurugu.

View attachment 3622679
Waliomba kibali cha maandamano?ama na kulipwa walilipwa kuandamana?Na je mlipaji wao alikuwa nani?
 
Wanaoandamana kupinga maandamano wanarihusiwa kuandamana?
 
Huu ni mfano mzuri kuwa maandamano yanaweza kuwa ya amani...ni mamlaka kuruhusu ama chama au kikundi cha watu kuwasilisha maoni/malalamiko yao!
Wangeweza kufanya hivi hata kama wasifanyie kazi hayo mawazo ,rejea rasilimali zilivyotumika kwenye issue kama katiba mpya ila ikaishia kabatini.
Simple wape ulinzi kibali & waandamanaji wamalize shughuli yao wakalale,au mamlaka zinaogopa pipo zitajitokeza kwa wingi 😂
 
Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.

Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.

Aidha, wamewaasa akina mama na wazazi kuwazuia watoto wao wasitoke barabarani tarehe 7 Julai wakidai kuwa vijana wanatumiwa na watu ambao watoto wao wako nje ya nchi, na wakati mwingine vijana hao hupewa pombe au fedha kidogo ili wafanye vurugu.

View attachment 3622679
Nilisema sinema nyingine main character awe mkristo.......
 
Back
Top Bottom