Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sasa makuli ni watu?Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.
Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.
๐Sasa makuli ni watu?
Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.
Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.
Aidha, wamewaasa akina mama na wazazi kuwazuia watoto wao wasitoke barabarani tarehe 7 Julai wakidai kuwa vijana wanatumiwa na watu ambao watoto wao wako nje ya nchi, na wakati mwingine vijana hao hupewa pombe au fedha kidogo ili wafanye vurugu.wa
Wajifunze kuweka akiba maana kuna kuumwa na kuna siku nchi itavurugika au.....lolote nje uwezo wao akiba muhimu pia nhuvu suala la mpito.....sio kila miaka utakuwa nguvu kubeba mizigo tรนuWakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.
Wakizungumza siku ya Jumamosi Julai 4, 2026 wakati wa matembezi ya kuhamasisha kulinda amani ya Tanzania, makuli hao wameelezea kuwa tukio la tarehe 29 Oktoba liliwaumiza sana kiuchumi kwasababu wao wanategemea kazi ya kila siku ili kulisha familia zao na kusomesha watoto, hivyo iwapo hakutakuwa na amani siku hiyo, yaliyotokea Oktoba 29 yanaweza kujirudia na kuwaumiza zaidi.
Aidha, wamewaasa akina mama na wazazi kuwazuia watoto wao wasitoke barabarani tarehe 7 Julai wakidai kuwa vijana wanatumiwa na watu ambao watoto wao wako nje ya nchi, na wakati mwingine vijana hao hupewa pombe au fedha kidogo ili wafanye vurugu.
Ni punda waliochangamkaSasa makuli ni watu?
Akijibu nistueNani kawapa Kibali?
ProjectKama wao wameandamana hawaoni kuwa wenzao pia nawao wanahaki ya kuandamana kama walivyo andamana wao
Hii Nchi Ina mijitu mingi ambayo Haina Akili
Kwamba kuandamana kwao ni sawa ila wengine wakiandamana sio sawa !!!
My foot ๐๐
I knowProject
Sasa makuli ni watu?
Sio buku saba tena, CCM sio watu ๐Matapeli hao.Wameshapewa elfu tatutatu ili waongee maujinga yao.
Wee unaelewa maana ya haki ya watu kuandamanaBaadae watoto wakifa mnadai Rais Samia ndio mwenye Damu zaoโ๏ธ๐ซ๐ซ
lkn nyinyi juhudi zenu kutaka Watoto wakafe hamzioni!!!