Makuli na washusha mizigo ya nafaka waandamana kupinga maandamano ya Julai 7

Tutaelewana tu. Safari hii wakianzisha vurugu zao hao kina heche, sisi wazalendo wa nchi hii tutazizuia kwanza Kisha kwa nguvu kuu tutasema nao woooooooote Hadi wahame nchi wakaishi huko huko ubelgiji walikoolewa.

Wakimwaga Ugali πŸ«ŽπŸ«Žβ—οΈ

Sisi tunamwaga mboga jino kwa jinoβœ…οΈ

Sio wao tu na familia zao wazipeleke zikanyie uko uko Ubelgiji ngoja wajizime Data ☠️☠️
 
Wakimwaga Ugali πŸ«ŽπŸ«Žβ—οΈ

Sisi tunamwaga mboga jino kwa jinoβœ…οΈ

Sio wao tu na familia zao wazipeleke zikanyie uko uko Ubelgiji ngoja wajizime Data ☠️☠️
Kabisa, uzuri wa safari hii ni kuwa hata wananchi wenyewe wataisaidia serikali kupambana na hawa washenzi
 
Kobazi wasiojielewa , makuli , wanajeshi, kina Lucas Msandambwa, πŸ’ etc ndio mitaji ya CCM, ukiangalia vizuri wote kichwani hamna kitu
Napenda sana manyumbu yanavyoweka wazi chuki yao kuu iliyojificha ya udini.......
 
Mko mbele kupinga maandamano na mmeahidi kukata watu vichwa, hamjielewi and nobody cares what you think or believe πŸ‘Ž
Nitakujibu ukipata akili, ila kwa Sasa jua tu kuwa hakuna fala wa kuandamana tarehe 7, hata wewe hautoandamana.
 
Watoke 7/7 waandamane pia!
 
Tutaelewana tu. Safari hii wakianzisha vurugu zao hao kina heche, sisi wazalendo wa nchi hii tutazizuia kwanza Kisha kwa nguvu kuu tutasema nao woooooooote Hadi wahame nchi wakaishi huko huko ubelgiji walikoolewa.
Uwe kwenye system au nje ya system au payroll yao kuna siku utaguswa tu utafikiwa tu na upumbavu wao ccm hapo ndio utalia na kusaga meno na kuwakumbuka wote waliopigania haki.
 
Uwe kwenye system au nje ya system au payroll yao kuna siku utaguswa tu utafikiwa tu na upumbavu wao ccm hapo ndio utalia na kusaga meno na kuwakumbuka wote waliopigania haki.
Kamwe wazalendo hatutokuja kujuta sababu kazi yetu ya kuilinda hii nchi na vizazi vyake ni ya haki hivyo Ina baraka za Mungu. Nyie mashetani mnaosukumwa na chuki Huku mkimlenga mtu flani katika harakati zenu ndiyo mtakaojuta
 
Polepole alikuwa mzalendo kuliko wewe ila Leo kashaoza! Halafu pili ukija uongozi wenye akili utataka kujitenga na maovu yenu mtakula vitanzi wote mbwa nyie wakati huo mama yenu mwizi wa kura atakuwa Qatar nyie ndio mtakuwa mfano.
 
Ndo alivyokwambieni polepole?!!!! Poleni sana nyumbu. Nipo liwale mkuu nalima mbaazi, karibu sana. Sipo kabisaaaa kwenye utawala wa nchi na Wala sioti na Wala sina kipaji Cha hayo mambo. Tatizo langu tu ni kuwa sipendi UNAFIKI ndo maana namuunga mkono Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, sababu anaonewa na nyie manyumbu wabaguzi wakubwa. Alipokuwa yule mwamba mlikaa kimyaaaa, Sasa hv mnajifanya kumsumbua Kila Leo mama wa watu kwa sababu zenu za kishenzi.
 
Mama yako anaunda vikundi vya kigaidi nje ya jw na polisi na amefanya mpaka jw iliyokuwa inapendwa mno na watanzania Sasa nao wanachukiwa kisa huyo mama mwizi wa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…