DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa huu ushetani unaoende

A

Sasa hivi wanatafutwa watu wote wenye akili, wale wenye akili ya kuhoji. Bila shaka wanataka nchi ibakie na machawa punguani.
Huu ndiyo ukweli ingawa unauma!
 
Hata kwa kifo ni kifo tu
Putin.jpg
 
Kwanza huyu mtu ndiyo namsikia leo na hiyo taasisi.

Umeongea point. Nadhani pia tuwe smart, kama mtu kafuatwa na polisi wenye sare tunasemaje anatekwa? Pili, wahalifu wasije kuanza kuomba nguvu ya umma badala ya kutafuta nguvu ya sheria. Kwa nini polisi hawaji kwako, yule au huyu? Tufikiri vzuri tukiwa ni Watanzania.
 
Kwahiyo polisi hawajui kwanini wanakimbiwa.wakae wajitathimini badala yakutaka kujificha kichwa kama mbuni.Wako wananchi wengi tu wamepoteza imani na hilo jeshi.Sasa hivi Usalama wa mtu ni mtu mwenyewe.wako waliokaa wakasubiri ikala kwao.
 
Kwa huu ushetani unaoende

A

Sasa hivi wanatafutwa watu wote wenye akili, wale wenye akili ya kuhoji. Bila shaka wanataka nchi ibakie na machawa punguani.
Hoji kistaarabu siyo matusi na lugha za kukera,ukiwatusi watu Wana nguvu watakunyoosha tu hata kama kwenu ulilelewa kutoheshimu watu
 
Tunahitaji mambo mawili kabla ya uchaguzi 2025

1.Vijana wapelekwe msituni nchi jirani kwa ajili ya mapambano ,waandaliwe vizuri .

2.Polisi zaidi ya 1000 wanatakiwa kuwa walemavu kabla ya uchaguzi

3.UVCCM zaidi ya 500 wanatakiwa kuwa walemavu kabla ya uchaguzi

4.Walimu zaidi ya 200 wanatakiwa kitishwa haswa !!
Wakiendelea hivi tutafika huko.
 
Chama gani ni cha kikabila au ni cha kidini. Na umetumia kigezo/vigezo gani kusema chama Fulani ni cha kidini au cha kikabila?

Kwenye uchaguzi HURU na Haki au kwenye haya mazingaombwe ya CCM?
Chadema cha 2012 na sasa unafikiri kipi kinawakilisha maoni, mawazo, matakwa ya Watanzania.

Unafikiri Mbowe au Lissu , Heche nani anawakilisha maoni ya Watanzania.

Sukuma gang ilikuwa wimbo wenu hapa JF
Ilimaanisha nini kama sio kuwagawa Watanzania kikabila?
 
Ni sw
Kwanza huyu mtu ndiyo namsikia leo na hiyo taasisi.

Umeongea point. Nadhani pia tuwe smart, kama mtu kafuatwa na polisi wenye sare tunasemaje anatekwa? Pili, wahalifu wasije kuanza kuomba nguvu ya umma badala ya kutafuta nguvu ya sheria. Kwa nini polisi hawaji kwako, yule au huyu? Tufikiri vzuri tukiwa ni Watanzania.
Kwa tawala za zama hizi, Ni swala la muda tu Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Ni kuomba Mungu tu.
 
Chadema cha 2012 na sasa unafikiri kipi kinawakilisha maoni, mawazo, matakwa ya Watanzania.

Unafikiri Mbowe au Lissu , Heche nani anawakilisha maoni ya Watanzania.

Sukuma gang ilikuwa wimbo wenu hapa JF
Ilimaanisha nini kama sio kuwagawa Watanzania kikabila?
Chadema ya sasa imeathirika na utandawazi .
-Kuhusu Ubunifu "sijaona Ubunifu wowote unaofanywa na chadema"
 
Ilimaanisha nini kama sio kuwagawa Watanzania kikabila?
Unaandika mambo mengi lakini yasiyohusiana.

Kugawa watu kikabila umemsahau aliyekuwa anagawa watu. Unakumbuka Magufuli lilipotajwa jina la Mwenyekiti wa VICOBA pale temeke ilipoonekana ni mchaga alisemaje?

CCM humu na mitaani sI kila siku wanasema kuwa CHADEMA ni chama cha wachaga?
 
"Hii nchi inahitaji vuguvugu damu changa, mpya kupambana sio Mbowe, Zitto ha

wa hawana tofauti na CCM.

Unaandika mambo mengi lakini yasiyohusiana.

Kugawa watu kikabila umemsahau aliyekuwa anagawa watu. Unakumbuka Magufuli lilipotajwa jina la Mwenyekiti wa VICOBA pale temeke ilipoonekana ni mchaga alisemaje?

CCM humu na mitaasI kila siku wanasema kuwa CHADEMA ni chama cha wachaga?
Mkuu umefanya nini hata hapa jamii forums kuonyesha hauko kikabila? Unapigania utaifa, Watanzania wote?
 
Back
Top Bottom