Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Huu ndiyo ukweli ingawa unauma!Kwa huu ushetani unaoende
A
Sasa hivi wanatafutwa watu wote wenye akili, wale wenye akili ya kuhoji. Bila shaka wanataka nchi ibakie na machawa punguani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndiyo ukweli ingawa unauma!Kwa huu ushetani unaoende
A
Sasa hivi wanatafutwa watu wote wenye akili, wale wenye akili ya kuhoji. Bila shaka wanataka nchi ibakie na machawa punguani.
Kalidhani katapandishwa cheo. Sijui kako wapi sasa hivi.Alaf kakistahafu katapata milion 9.5 yule dogo mpumbafu sana ,nakumbuka kalikua kanapiga kelele "Heshimu bendera ,heshimu bendera!!" Yaan kanadhan heshima inaletwa Kwa nguvu na mikwara ,,,!!!
Kinachoshangaza wenyewe wakikaa peke yao wanacheeeka.Kalidhani katapandishwa cheo. Sijui kako wapi sasa hivi.
Hata kwa kifo ni kifo tu
Ni mtihanisometimes nawaza hao wajinga wenye mishahara ya sabuni,kwanini wana kuwaga mazuzu Sana.
Hivi kwa nini TanPol mnakuwa vilaza namna hii!!??Chadema wameshambuliwa wapi?!..aliyeuawa mbeya ni chadema,nondo ni chadema,bonge wa kibaha ni chadema?!..msijipe umuhimu msiokua nao
Kuvaa kombati mchana jua kali siyo ukilaza?Hivi kwa nini TanPol mnakuwa vilaza namna hii!!??
Hoji kistaarabu siyo matusi na lugha za kukera,ukiwatusi watu Wana nguvu watakunyoosha tu hata kama kwenu ulilelewa kutoheshimu watuKwa huu ushetani unaoende
A
Sasa hivi wanatafutwa watu wote wenye akili, wale wenye akili ya kuhoji. Bila shaka wanataka nchi ibakie na machawa punguani.
Ujumbe umekufikia .Vijembe tu.
Point yenye maana Hakuna.
Wakiendelea hivi tutafika huko.Tunahitaji mambo mawili kabla ya uchaguzi 2025
1.Vijana wapelekwe msituni nchi jirani kwa ajili ya mapambano ,waandaliwe vizuri .
2.Polisi zaidi ya 1000 wanatakiwa kuwa walemavu kabla ya uchaguzi
3.UVCCM zaidi ya 500 wanatakiwa kuwa walemavu kabla ya uchaguzi
4.Walimu zaidi ya 200 wanatakiwa kitishwa haswa !!
Chadema cha 2012 na sasa unafikiri kipi kinawakilisha maoni, mawazo, matakwa ya Watanzania.Chama gani ni cha kikabila au ni cha kidini. Na umetumia kigezo/vigezo gani kusema chama Fulani ni cha kidini au cha kikabila?
Kwenye uchaguzi HURU na Haki au kwenye haya mazingaombwe ya CCM?
Kwa tawala za zama hizi, Ni swala la muda tu Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Ni kuomba Mungu tu.Kwanza huyu mtu ndiyo namsikia leo na hiyo taasisi.
Umeongea point. Nadhani pia tuwe smart, kama mtu kafuatwa na polisi wenye sare tunasemaje anatekwa? Pili, wahalifu wasije kuanza kuomba nguvu ya umma badala ya kutafuta nguvu ya sheria. Kwa nini polisi hawaji kwako, yule au huyu? Tufikiri vzuri tukiwa ni Watanzania.
Chadema ya sasa imeathirika na utandawazi .Chadema cha 2012 na sasa unafikiri kipi kinawakilisha maoni, mawazo, matakwa ya Watanzania.
Unafikiri Mbowe au Lissu , Heche nani anawakilisha maoni ya Watanzania.
Sukuma gang ilikuwa wimbo wenu hapa JF
Ilimaanisha nini kama sio kuwagawa Watanzania kikabila?
Kwa mfano ubunifu Gani ulitaka kuuona ambao haupo CHADEMA?Kuhusu Ubunifu "sijaona Ubunifu wowote unaofanywa na chadema"
Unaandika mambo mengi lakini yasiyohusiana.Ilimaanisha nini kama sio kuwagawa Watanzania kikabila?
"Hii nchi inahitaji vuguvugu damu changa, mpya kupambana sio Mbowe, Zitto ha
wa hawana tofauti na CCM.
Mkuu umefanya nini hata hapa jamii forums kuonyesha hauko kikabila? Unapigania utaifa, Watanzania wote?Unaandika mambo mengi lakini yasiyohusiana.
Kugawa watu kikabila umemsahau aliyekuwa anagawa watu. Unakumbuka Magufuli lilipotajwa jina la Mwenyekiti wa VICOBA pale temeke ilipoonekana ni mchaga alisemaje?
CCM humu na mitaasI kila siku wanasema kuwa CHADEMA ni chama cha wachaga?