Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

Kabisaaaaa..... Yaani atakaye draw tuu na bongo safari
Yani yapo kila mmoja anatutamani.

Wenzako wana Victor Osimen wewe una Abdul Hamis Sopu.

Huku Alex Iwobi huku Sospeter Bajana.

Huku Chukwueze huku Kibu Denis.

Huku Ademola Lookman huku Mzize.

Sijaelewa logic ya kumlaumu kocha mkifungwa na watu kama hawa inatokana na nini?
 
😁😁
 
Au mwaka huu kuna mashndano mawili kwa pamoja?!! CHAN na AFCON?!! Nieleweshwe tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…