Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

Caf bhana eti 1.Nigeria 2.Tunisia 3.Uganda 4.Tanzania, Hapa alama tutapata siyo kama mashindano yaliyopita tuliyotoka bila alama, hapa droo 2 na ushindi game Moja, Hemmed Morroco nguvu Moja.
 
Yule captain wao chotara flan hivi huku mna mkamiaji Bacca eti Koplo 😂😂 Tanzania kuna vituko
 
Taifa Stars inaenda kusindikiza lakini huenda itafika robo fainali.
 
Haya sasa kwa kundi hilo tutafika wapi zaidi ya kuishia kwenye round ya kwanza tu lakini mtu kwa tamaa zake za madaraka anaamua kutupa hela ya bure eti kuwazawadia kwa kufuzu fainali za Afcon!
Nchi la ovyo sana hili.
 
Haya sasa kwa kundi hilo tutafika wapi zaidi ya kuishia kwenye round ya kwanza tu lakini mtu kwa tamaa zake za madaraka anaamua kutupa hela ya bure eti kuwazawadia kwa kufuzu fainali za Afcon!
Nchi la ovyo sana hili.
Hamia Burundi. Kenge we😀😀😀

Mitano tena kwa Mrs. Hafidh
 
Bila kumsahau mama abdul😀😀😀
Hapana kwa Sasa kwenye michezo vichwa viwili hapa Leodigar Tenga pale BMT na huku ndio Karia hii duo imepambania sana Soka
Tenga ndie brain ila Karia amekuwa msikivu
Tenga anafanya kazi kwa utulivu na kale ka katibu kake "Neema Msita"ni pisi ya kwenda na kanampenda mno yule mzee akikaomba kanampa
 
Finally safari hii Tanzania tunaenda kufuzu round ya pili.

Uganda tunampiga. Nigeria hawatishi tunaweza pata sare. Tunisia tuna sare au akikaa vibaya naye anapokea kichapo ili safari yetu iwe na uhakika zaidi. Hapo hatujaenda round ya mtoano?

Muhimu ratiba ipangwe vizuri kutufeva. Tuanze na Tunisia, halafu aje Nigeria tumalizie na wajukuu wa Museveni.
 
Unaota wewe!
 
Hili kundi la Taifa Starz halihitaji calculator kama zile zilizotumika kwa ile timu ya madibwini
Yaani mpaka sasa Calculator zimeshakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…