Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 922
- 692
Caf bhana eti 1.Nigeria 2.Tunisia 3.Uganda 4.Tanzania, Hapa alama tutapata siyo kama mashindano yaliyopita tuliyotoka bila alama, hapa droo 2 na ushindi game Moja, Hemmed Morroco nguvu Moja.Kwasasa nchini Morocco kuna hafla ya upangaji wa makundi kwaajili ya michuano ya AFCON 2025.
Ungana nami kujua Tanzania tutapangwa na nani?
Tukio lipo mubashara Azamtv na DStv
=================================
View attachment 3215833View attachment 3215834View attachment 3215835View attachment 3215836View attachment 3215838View attachment 3215839