Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 317
- 495
Taifa stars Asante kwa kushiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bye bye mapemaaaaGroup C
Nigeria
Tunisia
Uganda
Tanzania
Unamaanisha wale ndugu zetu wa Sinza Palestina?Sherehe zimefana sana hii Morocco ni ulaya kabisa
Sema mabinti wa Morocco tena wasanii hawafuniki vichwa kwa hijabu hii nadhani haitawafurahisha Hamas na hizbolah
tuanze kupiga hesabu za kwenye makaratasi mapemaGroup C
Nigeria
Tunisia
Uganda
Tanzania
Kalkuletatuanze kupiga hesabu za kwenye makaratasi mapema
Muoneni huyuTutapiga hawa Tunisia
Hili kundi hatutoboiGroup C
Nigeria
Tunisia
Uganda
Tanzania
Yah na LabournonUnamaanisha wale ndugu zetu wa Sinza Palestina?
Wapopo umewachukulia poa?Hili kundi hatutoboi
Hapa wanaenda Tunisia na Uganda
TunisiaWapopo umewachukulia poa?
Hivi hili kombe ndio kama UEFA NATION LEAGUE? Au ni sawa na EURO?Group B
South Africa
Angola
Zimbabwe