Wewe ndio hujui madhara ya vita na kutawaliwa.
Watu wa Gaza wanajua sana na wanakufa kila siku na bado hawajachagua kukaliwa na mayahudi
Wameamua wapigane wote waishe au wapate uhuru wao.
Baada ya kugunduwa mashambulizi ya Moscow yamefanywa ña magaidi wa kiislamu umekimbia kumshabikia kafir Putin ambaye anawapa dozi ya uhakika wale magaidi wa kiislamu.
Ptutin ni rafiki mkubwa wa Ramzan Kadyrov ambaye ni kiongozi wa Chechnya.
Nguvu ya wachechnya imemsaidia sana Putin kuitia adabu Ukraine.
Anapambana na ISIS ya Marekani lakini hana tatizo na waislamu kama walivyo viongozi wa US.