huna huruma na uchumi wa Gaza ila wapalestina wafe ili myafikie malengo yenuCeasefire ni kwa faida ya wote.
Si umeona hapo kuwa Israel wamechanganyikiwa na uchumi wao bila wapelestina hauwezi kukua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna huruma na uchumi wa Gaza ila wapalestina wafe ili myafikie malengo yenuCeasefire ni kwa faida ya wote.
Si umeona hapo kuwa Israel wamechanganyikiwa na uchumi wao bila wapelestina hauwezi kukua.
kwamba Gaza na west benk wanaish wayaudi ?Wewe ndio hujui madhara ya vita na kutawaliwa.
Watu wa Gaza wanajua sana na wanakufa kila siku na bado hawajachagua kukaliwa na mayahudi
Wameamua wapigane wote waishe au wapate uhuru wao.
DAVOS WEFWapalestina ndio wanachangia uchumi wa israel? We kichaa
Ptutin ni rafiki mkubwa wa Ramzan Kadyrov ambaye ni kiongozi wa Chechnya.Baada ya kugunduwa mashambulizi ya Moscow yamefanywa ña magaidi wa kiislamu umekimbia kumshabikia kafir Putin ambaye anawapa dozi ya uhakika wale magaidi wa kiislamu.