Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

Madem waliojichora tatuu kwenye shingo huwa wanajiona wameyapatia sana maisha
 
kwahiyo mkuu kilicho kuuma ni demu wangu kuweka miguu juu ya dashboard au mimi kukumwagia maji kwa bahati mbaya?
 
Pole mkuu...

Madaktari kama hao ndio walioghushi vyeti.Japo kuna mbululazi humu zinawatetea mbululaz wenzao walioghushi vyeti.
 
Hapa sasa hivi katoka kulitumiaπŸ˜‚πŸ˜‚ Anamwambia mama Ile sio kambi ile Combania we utajuaje wakati wewe "Raia" πŸ˜‚mama anamjulia nae kamjibu iwe kombania au komba ngurue mtajijua wenyewe
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimekaa nao sana hao JW yaani sie ambao sio askari wanatuona yaani kama chokoraa,nadhani ni kutokana na spirit wanayomezeshwa kipindi cha mafunzo ndio inayowajenga KUJIMWAMBAFY.,.....Mwanajeshi bora umtukane matusi mengine lakini kamwe usijaribu kumwita "RAIA".
 
Madem wenye tako,Wafanyakazi bank hasa CRDB,.
Wanaoishi dar yan naamin wanahisi ndio Ulaya
 
AtakuuaπŸ˜‚
Ngoja kesho nimchokoze wapoti nimwambie baba we si Raia tu
Ukiona kimya uje mloganzila kuniona mkuu
 
Under 25 walioajiriwa ma serikali au sekta binafsi hasa ajira za white collar hata kama wanalipwa laki moja kwa mwezi.
 
Don't compare Jf and other social networks.... tafadhali mkuu hii ni zaidi ya social media...ipe heshima yake na unatakiwa uombe radhi
 
Live your life to the fully,acha wajidai,maisha ni haya haya,we live once
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…