Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Sijavutiwa na mada yako.nilidhani kwa kuwa niliyoandika kwenye mada kuu ya uzi huu hayakupendezi,
ungepita tu kimyakimya bila kusema chochote.
lakini kitendo cha kusoma nilichoandika, ukajipa sekunde kadhaa kutafakari, halafu uka-comment mara ya kwanza, ukarudi tena ku-comment mara ya pili kilekile ulicho comment mara ya kwanza, inaonyesha ni namna gani umevutiwa na mada yangu.
pia ni ashara kwamba nilichoandika kina reflect maisha halisi ya sisi watanzania regardless of our social, economic differences.
karibu tena ndg.
Ila inatoa confirmation jinsi watanzania walivyolelewa kwenye maisha na mitazamo ya kimasikini ambapo mwenzake akienda against jamii inafikirika au inataka uwe, wanakwazika.
You don't own ideas. Usitegemee kuweka mada watu wakuunge mkono wote, wakukukosoa laziwa wawepo.