MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Igeuze hii habari ndyo itakua kweli
Ukraine wagoma kupigana vita kisa hawapewi silaha wala chakula
Walalamika wanapelekwa kufa…..
Ukraine hawana sababu za kugomea vita, wapo kwao wamevamiwa, watatumia hata mapanga na mawe maana hamna namna, ila kwa Urusi mvamizi ndiye mwenye shida kubwa, kuwashawishi wanajeshi waende wakafe kwa vita ambavyo havina tija yoyote kwa Urusi ndio mtihani, wanauawa kama kuku.