Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

Igeuze hii habari ndyo itakua kweli
Ukraine wagoma kupigana vita kisa hawapewi silaha wala chakula
Walalamika wanapelekwa kufa…..

Ukraine hawana sababu za kugomea vita, wapo kwao wamevamiwa, watatumia hata mapanga na mawe maana hamna namna, ila kwa Urusi mvamizi ndiye mwenye shida kubwa, kuwashawishi wanajeshi waende wakafe kwa vita ambavyo havina tija yoyote kwa Urusi ndio mtihani, wanauawa kama kuku.
 
Putin naye kakimbilia porini. Kremlin hakukaliki.
 
Ukraine hawana sababu za kugomea vita, wapo kwao wamevamiwa, watatumia hata mapanga na mawe maana hamna namna, ila kwa Urusi mvamizi ndiye mwenye shida kubwa, kuwashawishi wanajeshi waende wakafe kwa vita ambavyo havina tija yoyote kwa Urusi ndio mtihani, wanauawa kama kuku.
Jeshi la Urusi limeteketea wamebaki masalia wachache ambao nao wamegoma kupigana.
Zelensky yupo njiani kuelekea Moscow
 
Nashangaa hujalijua hilo, ile tu kwamba msafara ulibadilishwa kuwa chuma chakavu na Urusi wakafukuziwa Kiev kama mbwa, huo ni ushindi tosha, mengine hayo ya kugombania tumji twa huko mipakanani sio issue kubwa, maana wengi tulikua tunaogopa sana Urusi, tulidhani wana chochote cha maana, kumbe useless.
Na sasa hizi taarifa za wnajeshi wa Urusi kuendelea kugomea vita, yaani hadi raha....
Warusi wamejificha kwenye mahandaki. Moscow inaangukia mikononi mwa mbabe wa vita Zelensky.
 
Unafkiri ni waUkran kwamba hata chakula hawana wanapelekwa vitani na njaa, vijana acheni urongo na propaganda havitobadilisha ukweli wa mambo huko uwanjani
Hujasikia US amepeleka silaha nzito za maangamizi ya Moscow. Zelensky ameitangaza Moscow kuwa makazi ya popo soon. Mrusi anakimbilia kwenye mahandaki
 
Hii ndio mara ya tatu habari kama hii kuwekwa humu,cha ajabu,hakuna video clips,wala nini,alafu kila siku Urusi inaendelaea kuchukua miji
 
Jeshi la Urusi limeteketea wamebaki masalia wachache ambao nao wamegoma kupigana.
Zelensky yupo njiani kuelekea Moscow
Ichukueni Kiev, ha ha ha!!!
Bado nakumbuka operesheni ya siku tatu kuiteka Kiev, watu waliangukia pua na kukimbizwa kama mbwa.
 
Unafkiri ni waUkran kwamba hata chakula hawana wanapelekwa vitani na njaa, vijana acheni urongo na propaganda havitobadilisha ukweli wa mambo huko uwanjani
Ukraine hali ni ngumu hakuna meli inayoingia wala kutoka, hakuna shughuli za kijamii zinazotendeka kila kitu kimesimama. Urusi ameteka bandari zote muhimu kwa ustawi wa ukraine
 
We jamaa hauko sawa kuna shida mahala.. Maana nyuzi zako zinatoa picha kamili ya ulivyo
Kwa sababu anaisema Russia....wewe ndo unaonekana kiande tena kiazi kilichooza wenzio wapo kimya wanapopewa habar mbaya za upande wao....ila wewe unaposikia za huko kwenu unaita watu wana akili mbaya...kenge wahedi...tuliza mshono tena soma kwa kulia uelewe
 
Nashangaa hujalijua hilo, ile tu kwamba msafara ulibadilishwa kuwa chuma chakavu na Urusi wakafukuziwa Kiev kama mbwa, huo ni ushindi tosha, mengine hayo ya kugombania tumji twa huko mipakanani sio issue kubwa, maana wengi tulikua tunaogopa sana Urusi, tulidhani wana chochote cha maana, kumbe useless.
Na sasa hizi taarifa za wnajeshi wa Urusi kuendelea kugomea vita, yaani hadi raha....
Maliapol ndio uti wa mgongo wa Ukraine, hiyo miji uonayo inategemea Donbase kwa chakula na Uchumi wa Viwanda.
Kwa ufupi hali ni tete tuombe Vita ikwishe Watu wasife na maisha yaendelee.
Uhalisia ktk uwanja wa Vita hali mbaya na Ukraine atatakiwa kurudi mezani.
 
Kwa sababu anaisema Russia....wewe ndo unaonekana kiande tena kiazi kilichooza wenzio wapo kimya wanapopewa habar mbaya za upande wao....ila wewe unaposikia za huko kwenu unaita watu wana akili mbaya...kenge wahedi...tuliza mshono tena soma kwa kulia uelewe
Bao lilokutoa bora lingeenda chooni
 
Kwa sababu anaisema Russia....wewe ndo unaonekana kiande tena kiazi kilichooza wenzio wapo kimya wanapopewa habar mbaya za upande wao....ila wewe unaposikia za huko kwenu unaita watu wana akili mbaya...kenge wahedi...tuliza mshono tena soma kwa kulia uelewe
tulia ukue ukue tukuchinje tule pilau
 
Watoto wa watu wanakufa Kama sisimiz kwa vita yenye sababu zisizoeleweka
Kuna watu watakuja kukushambulia, ila ni kiu ya kuona damu ndiyo inawasumbua hawa. Vita itaisha si muda mrefu
 
Watoto wa watu wanakufa Kama sisimiz kwa vita yenye sababu zisizoeleweka
Kiumbe mzito mfupi Putin anaamka na nightmares zake anaamrisha watoto wa wenzie wakafe vitani wakati wa kwake aliozaa na kimada wake wanakula bata huko Uswiz.
 
Back
Top Bottom