Igeuze hii habari ndyo itakua kweli
Ukraine wagoma kupigana vita kisa hawapewi silaha wala chakula
Walalamika wanapelekwa kufa…..
Jeshi la Urusi limeteketea wamebaki masalia wachache ambao nao wamegoma kupigana.Ukraine hawana sababu za kugomea vita, wapo kwao wamevamiwa, watatumia hata mapanga na mawe maana hamna namna, ila kwa Urusi mvamizi ndiye mwenye shida kubwa, kuwashawishi wanajeshi waende wakafe kwa vita ambavyo havina tija yoyote kwa Urusi ndio mtihani, wanauawa kama kuku.
Warusi wamejificha kwenye mahandaki. Moscow inaangukia mikononi mwa mbabe wa vita Zelensky.Nashangaa hujalijua hilo, ile tu kwamba msafara ulibadilishwa kuwa chuma chakavu na Urusi wakafukuziwa Kiev kama mbwa, huo ni ushindi tosha, mengine hayo ya kugombania tumji twa huko mipakanani sio issue kubwa, maana wengi tulikua tunaogopa sana Urusi, tulidhani wana chochote cha maana, kumbe useless.
Na sasa hizi taarifa za wnajeshi wa Urusi kuendelea kugomea vita, yaani hadi raha....
Hujasikia US amepeleka silaha nzito za maangamizi ya Moscow. Zelensky ameitangaza Moscow kuwa makazi ya popo soon. Mrusi anakimbilia kwenye mahandakiUnafkiri ni waUkran kwamba hata chakula hawana wanapelekwa vitani na njaa, vijana acheni urongo na propaganda havitobadilisha ukweli wa mambo huko uwanjani
Ichukueni Kiev, ha ha ha!!!Jeshi la Urusi limeteketea wamebaki masalia wachache ambao nao wamegoma kupigana.
Zelensky yupo njiani kuelekea Moscow
Ukraine hali ni ngumu hakuna meli inayoingia wala kutoka, hakuna shughuli za kijamii zinazotendeka kila kitu kimesimama. Urusi ameteka bandari zote muhimu kwa ustawi wa ukraineUnafkiri ni waUkran kwamba hata chakula hawana wanapelekwa vitani na njaa, vijana acheni urongo na propaganda havitobadilisha ukweli wa mambo huko uwanjani
Kwa sababu anaisema Russia....wewe ndo unaonekana kiande tena kiazi kilichooza wenzio wapo kimya wanapopewa habar mbaya za upande wao....ila wewe unaposikia za huko kwenu unaita watu wana akili mbaya...kenge wahedi...tuliza mshono tena soma kwa kulia ueleweWe jamaa hauko sawa kuna shida mahala.. Maana nyuzi zako zinatoa picha kamili ya ulivyo
Afya ya akili ni shida dogoPutin amekimbia hapa Kremlin, haonekani.
Maliapol ndio uti wa mgongo wa Ukraine, hiyo miji uonayo inategemea Donbase kwa chakula na Uchumi wa Viwanda.Nashangaa hujalijua hilo, ile tu kwamba msafara ulibadilishwa kuwa chuma chakavu na Urusi wakafukuziwa Kiev kama mbwa, huo ni ushindi tosha, mengine hayo ya kugombania tumji twa huko mipakanani sio issue kubwa, maana wengi tulikua tunaogopa sana Urusi, tulidhani wana chochote cha maana, kumbe useless.
Na sasa hizi taarifa za wnajeshi wa Urusi kuendelea kugomea vita, yaani hadi raha....
Bao lilokutoa bora lingeenda chooniKwa sababu anaisema Russia....wewe ndo unaonekana kiande tena kiazi kilichooza wenzio wapo kimya wanapopewa habar mbaya za upande wao....ila wewe unaposikia za huko kwenu unaita watu wana akili mbaya...kenge wahedi...tuliza mshono tena soma kwa kulia uelewe
tulia ukue ukue tukuchinje tule pilauKwa sababu anaisema Russia....wewe ndo unaonekana kiande tena kiazi kilichooza wenzio wapo kimya wanapopewa habar mbaya za upande wao....ila wewe unaposikia za huko kwenu unaita watu wana akili mbaya...kenge wahedi...tuliza mshono tena soma kwa kulia uelewe
Wahi mirembe dodoma.Afya ya akili ni shida dogo
Wapi kupata matibabu
Kuna watu watakuja kukushambulia, ila ni kiu ya kuona damu ndiyo inawasumbua hawa. Vita itaisha si muda mrefuWatoto wa watu wanakufa Kama sisimiz kwa vita yenye sababu zisizoeleweka
Kiumbe mzito mfupi Putin anaamka na nightmares zake anaamrisha watoto wa wenzie wakafe vitani wakati wa kwake aliozaa na kimada wake wanakula bata huko Uswiz.Watoto wa watu wanakufa Kama sisimiz kwa vita yenye sababu zisizoeleweka