Makundi yanayomuunga mkono Rais Samia Suluhu

sio kweli. Mimi namuunga mkono Rais, lakini siwezi kusema anaungwa mkono na hayo makundi uliyotaja hapo
Makundi yanayomuunga sana mkono Samia ni wasomi, wafanyabiashara wa kati na wa juu, wafanyakazi, hata vyama vya upinzani vinamuunga mkono kiasi fulani kuliko ilivyokuwa kwa Magufuli

Magufuli ndio aliungwa mkono na machinga na bodaboda sababu sera zake za ki populist, Samia sio populist lakini haimaanishi ni rais mbaya
 

Hizo juu ni porojo tu hata. Akichagulika bila hila, aaah tuanachia mbuzi kamba.
Pia bahati yake iliyokuu ni kwamba, tumetoka kwenye utawala mbaya,
Ambayo alikuwamo kama mtekelezaji?? Mshauri?? Ukumbuke walichaguliwa.
utawala katili, utawala primitive, hivyo hata jema dogo
Alikuwemo, unabisha?
atakalolifanya litaungwa mkono sana na wengi, ambao walikiwa wamechoshwa na utawala mbaya wa miaka mitano wa marehemu Magufuli.
Labda afanye nongwa za ki CCM na hila za kiaina aina ndipo ataungwa mkono na CCM wenzake.
 
Kwa utafiti wangu binafsi nilioufanya, Samia anungwa mkono na wafanyakazi, wafanyab iashara wa kati na wa juu na wasomi, yaani kiujumla anaungwa mkono na middle and upper class, hata vyama vya upinzani kiasi fulani wanamuunga mkono ikilinganishwa na kwa Magufuli

Magufuli aliungwa mkono zaidi na tabaka la chini, , sababu ya siasa za ki populist, ama siasa za furahisha genge, hawakuathirika vibaya na sera zake
 
Kwa bahati mbaya sana hakubaliki huko mtaani.

Chama kitatumia nguvu kubwa mno kumnadi.
 
umesahau kind moja muhimu
 
SYLLOGIST! umekunywa maji walioshea chupi la Magufuli hamna namna uta survuve na hiyo negativity
 
Alafu ukute unaandika post hii ukiwa sebuleni kwa shemeji, umekunja miguu ukiwa umeshikilia rimoti ukisubili katoto kauachie uji uunywe.
 
Sasa hivi hata tawi la vidole viwili juu nao ni walamba asali tu
 
Shauri yako.
umekunywa maji walioshea chupi la Magufuli hamna namna uta survuve na hiyo negativity
haha lazima umevimbirwa. Maneno gani hayo?
Umeshindwa hoja yakheee, nikuhakikishie, unajua sana unachokiongelea kwani mtu mwenye huzuni huwa anashinda gizani. Mbona unaleta roho ghamu! Nimeuliza maswali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…