Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
sio kweli. Mimi namuunga mkono Rais, lakini siwezi kusema anaungwa mkono na hayo makundi uliyotaja hapo
Makundi yanayomuunga sana mkono Samia ni wasomi, wafanyabiashara wa kati na wa juu, wafanyakazi, hata vyama vya upinzani vinamuunga mkono kiasi fulani kuliko ilivyokuwa kwa Magufuli
Magufuli ndio aliungwa mkono na machinga na bodaboda sababu sera zake za ki populist, Samia sio populist lakini haimaanishi ni rais mbaya